Naibu Meya wa Jiji la Arusha ampinga mkurugenzi wa idara ya maji,kuhusu wamiliki wa Hotel za Kitali

S

Steven Bicko

Member
59
0
Mchana huu diwani wa kata ya daraja mbili na Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe.Amezungumza na vyombo vya habari akimuagiza mkurugenzi wa idara ya Maji kufukukua chemba zote za maji taka za Hotel kumi alizoziba kwa zege kwa madai yakuwadai wamiliki wa Hotel hizo.Hotel hizo ni Naura spring ,Natron ,Mid way ,Stereo nk.wakati wamiliki wa Hotel hizo awana taharifa ya madeni zaidi ya kuona polisi wakiwa na bunduki kufika kwenye maeneo yao nakuanza kuziba chemba hizo kwa zege mapema jana asubuhi.Naibu Meya amesema itakapofika kesho jioni mkurugenzi huyo bin Ruth Koya awe amezibua chemba hizo kinyume cha hapo atamlazimisha kufanya hivyo kwani njia anayotumia ni kinyume na sheria na taratibu za nchi.

O

olevaroya

JF-Expert Member
1,224
1,500
Wakimbize wachumia tumbo tunakuamini jembe letu
 
M

MbungeWaPhilips

Senior Member
186
0
Meya wa kichina akikuona anakimbia
 
malcom2

malcom2

JF-Expert Member
301
0
Chezea nguvu ya umma shonga mbele Papa Msofe wakimbize maboya
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
5,883
2,000
Mchana huu diwani wa kata ya daraja mbili na Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe.Amezungumza na vyombo vya habari akimuagiza mkurugenzi wa idara ya Maji kufukukua chemba zote za maji taka za Hotel kumi alizoziba kwa zege kwa madai yakuwadai wamiliki wa Hotel hizo.Hotel hizo ni Naura spring ,Natron ,Mid way ,Stereo nk.wakati wamiliki wa Hotel hizo awana taharifa ya madeni zaidi ya kuona polisi wakiwa na bunduki kufika kwenye maeneo yao nakuanza kuziba chemba hizo kwa zege mapema jana asubuhi.Naibu Meya amesema itakapofika kesho jioni mkurugenzi huyo bin Ruth Koya awe amezibua chemba hizo kinyume cha hapo atamlazimisha kufanya hivyo kwani njia anayotumia ni kinyume na sheria na taratibu za nchi.

Kuna ugumu gani Naibu Meya kufuatilia hilo tatizo kwa wahusika badala ya kuongelea tatizo kwa kuita waandishi wa habari?
 
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
1,083
1,250
mods hii habari naona mleta uzi ameirudia na id ingine naomba unganisha pamoja
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom