Naibu Meya wa Jiji la Arusha ampinga mkurugenzi wa idara ya maji,kuhusu wamiliki wa Hotel za Kitali

Steven Bicko

Member
Oct 6, 2013
59
7
Mchana huu diwani wa kata ya daraja mbili na Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe.Amezungumza na vyombo vya habari akimuagiza mkurugenzi wa idara ya Maji kufukukua chemba zote za maji taka za Hotel kumi alizoziba kwa zege kwa madai yakuwadai wamiliki wa Hotel hizo.Hotel hizo ni Naura spring ,Natron ,Mid way ,Stereo nk.wakati wamiliki wa Hotel hizo awana taharifa ya madeni zaidi ya kuona polisi wakiwa na bunduki kufika kwenye maeneo yao nakuanza kuziba chemba hizo kwa zege mapema jana asubuhi.Naibu Meya amesema itakapofika kesho jioni mkurugenzi huyo bin Ruth Koya awe amezibua chemba hizo kinyume cha hapo atamlazimisha kufanya hivyo kwani njia anayotumia ni kinyume na sheria na taratibu za nchi.

Kuna ugumu gani Naibu Meya kufuatilia hilo tatizo kwa wahusika badala ya kuongelea tatizo kwa kuita waandishi wa habari?
 
Back
Top Bottom