Naibu katibu mkuu bara chadema ninawasiwasi nae

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Harakati zote hizo yeye hata hajaguswa na vyombo vya dola. Mpinzani kweli huyu? Haendi KISUTU huyu?
Waliobaki wote naona wanampigania lissu badala yeye
 
Wewe umeguswa wapi? Au hujui kazi ya Katibu ni nini
 
Hapendi siasa za kipumbavu kama za wenzake. Ana speech zimetulia sana, ndhani alifundwa na Mbowe. Hata Boni yai pia.

Wale machokoraa wengine ndio hawana adabu
 
Basi hafai chama hicho, arudi ccm
 
Back
Top Bottom