Naiba, nakiri ila sijutii hata kidogo

Naiba, nakiri ila sijutii hata kidogo

Fanya yoote, mbinue na mbiringite! Ila usizae nae. Sio fair kwako binafsi, kwa mwanamke na hata kwa huyo mtoto atakaezaliwa!

Umesema? (sijui nani kaukufundisha bangi my dear sister hebu nambie?)
 
Mmmh.. Ukisikia paaaaa ujue jamaa kashindwa kulengesha!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Eeenh makubwa! Naona kama jamaa naye yuko humu! Jf jumba kubwa jamani limebeba haswaa!
 
Mhhhhhhhhh! VANITY UPON VANITY IS VANITY!!!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaaa! Hata Shetani Atatatetemeka hapa!

Mafahari wawili wakipigana nyasi ndo zinazoumia! Hapo huyo dada ndio nyasi maskini ya Mungu! Na ulivosema Mwanza siku tano, afu umemsindikiza Uwanja wa Ndege nimeshamjua!

PATHETIC! SO SAD! Anavojishauaga na mumewe kumbe :shut-mouth:

mbavu zangu...jamanii
 
Ukisoma between lines unaweza kusema visa hivyo ni kama vimechomekwa ili kuhalalisha mchezo unaoendelea.
 
We ni mwanaharamu kabisa una uhakika gani na uricho ambiwa wakumlaumu ni huyo binti inaonyesha alikua hana msimamo ingekua ni mimi ningekufanyia kitu ambacho kinge kugharimu maisha yako yote. Afu unacho kifanya kaa ukifahamu jamaa anaweza kukufanyia kitu ambacho utajutia nafsi yako. Pamoja na yote yaliyo tokea ila alishakua mke wa mtu achana nae wanawake ni wengi. Wengi wanatembea uchi, wamekufa, na wameingiliwa kinyume cha maumbile kisa kutembea na wake za watu afu we unaleta thread watu wakupongeze we ----- kweli
 
Naona umeingia kwenye vita ambayo unapaswa ujipange sawasawa. Huyo mumewe akigundua kua unatembea na mkewe usidhanie atakaa kimya eti kwa sababu alikupora girfriend zamani hizooo.
 
umejitahidi saaaaana kumtetea huyo binti ila haibadilishi kuwa hakuwa na msimamo......na ni msaliti


kuhusu kummega mke watu nakutakia mafanikio mema....40 yako ikifika wakachana marinda ndo utajua cha mtu mavi.....na utaelewa kwa nini wanasema mke wa mtu ni sumu......

Kwa sasa nakwambia enjoy .....
 
mumewe anasoma post yako now. siri zote out
 
Kaka mkubwa kumbe ulikua unamsindika mke wa mtu,wasalimie mapacha.
 
Chezea mke wa mtu wewe? umewasahau wale wa temeke sijui waliogandana mmoja akauma shuka! mtaumbuka nyie aibu yenu siju mtaficha wapi hizo sura zenu za usaliti mtaani na kwa ndugu zenu,aaah kumbe ndoo wewe ?mharibifu wa uzazi jamaa yetu! safi sana ngoja nimwite muhusika aaaloooo nanihii jamaa anaekugongea wf ako huyu hapa!
 
not every r.ship ends up in marriage, na yako ikawa hivyo. hakuwa wako ndomana jamaa akamshawishi na akafanikiwa kumuoa. she is married by real religeous marriage. ameshaunganishwa na jamaa, tena kwa mungu. achana naye tafuta mwingine, umesha lipiza kisasi(japo sishabikii) yatosha. start a new, huyo atakuletea kifo.... huwa hakuna mwanaume zoba kwenye mali yake... especially akijua kuwa ni wewe... atakupoteza kama alivyokupoteza awali (chuoni )
 
Angalia! Huenda binti anangoma na bado anaiamini ile sumu aliyojazwa wakati jamaa anakupokonya na sasa kaamua kuitemea kwako, unaweza kudhani unakomoa kumbe unakomolewa.

Tulipima alipokuja Mwz kaka, japo tulisha uza mechi mara tatu kabla ya hapo
 
not every r.ship ends up in marriage, na yako ikawa hivyo. hakuwa wako ndomana jamaa akamshawishi na akafanikiwa kumuoa. she is married by real religeous marriage. ameshaunganishwa na jamaa, tena kwa mungu. achana naye tafuta mwingine, umesha lipiza kisasi(japo sishabikii) yatosha. start a new, huyo atakuletea kifo.... huwa hakuna mwanaume zoba kwenye mali yake... especially akijua kuwa ni wewe... atakupoteza kama alivyokupoteza awali (chuoni )

Naweza kuacha kwa sababu nyingine nyingi tu kaka., hususani kama mahusiano haya nikiona yanamwumiza huyu binti lakini kwa jamaa nipo tayari kwa lolote, sina hofu kabisa. Ningependa kumtazama machoni siku atakayojua ukweli. Jaribu kufikiri, aliponipora nikatambulishwa sikuwa na shida na jamaa kabisa, nilikata mawasiliano na binti ila jamaa tukawa poa kabisa naye. Kuna kipindi alikuwa ananiomba ushauri namna ya kushughulika ma matatizo kwenye uhusiano wake na mimi nampa bila kinyongo, fikiri jinsi alivyokuwa ananiaona ----.
 
Chezea mke wa mtu wewe? umewasahau wale wa temeke sijui waliogandana mmoja akauma shuka! mtaumbuka nyie aibu yenu siju mtaficha wapi hizo sura zenu za usaliti mtaani na kwa ndugu zenu,aaah kumbe ndoo wewe ?mharibifu wa uzazi jamaa yetu! safi sana ngoja nimwite muhusika aaaloooo nanihii jamaa anaekugongea wf ako huyu hapa!

Ki ukweli nataka ajue na nimtizame usoni,
 
It's a very touching story na navutiwa kuamini kwamba angalau kwa asilimia kubwa yaweza kuwa a tale surrounding a true affair.

Kama ndivyo mpaka sasa sijakulaumu 'sana' wewe na sijamlaumu 'sana' mme mwenzio. Wewe na huyo jamaa siwalaumu kama ninavyomlaumu huyo mke 'wenu'. Ghafla nimetokea kumchuki na sitamani hata kumfahamu. Kwa kuwa simjui kama umjuavyo nachelea kuandika sana maana si rahisi nijenge hoja yenye ushawishi hasa kwa mtu aliyependa kama wewe na hajutii kuiba. Kwa kuwa umeamua kuandika hapa ni wazi unataka usikie watu wanasemaje juu ya hali yako maana to read between the lines I recon a guilt conscience in you. Yaani ingawa unasema hujutii lakini naona dhaniri inakutesa ndo maana umeamua uandike ili uone dunia ya mapenzi ina-symphathise namna gani na wewe. Ushauri wangu ni huu; please TAKE IT if you think you need it, or else KEEP IT if you think you don't need it NOW.

1. Huyo mwanamke (face it, japo unampenda) ni mwanamke hatari sana, so watch out! Anaweza akakufanya ukuishi unajuta kwa maisha yako yote. Sitaki kuwa nabii na sikutakii mabaya. The whole story hinges around her. Hana msimamo na katu hawezi kusema ukweli kimapenzi. Believe me amewadanganya wengi ingawa kwa sasa nawajua wawili tu. Huyo ni opportunist, she doesn't know what love is and she will never be serious with anybody. Lazima ujue hili kabla hajakukatisha tamaa mara nyingine hadi ujiue.

2. Napata hisia kwamba umri wako hujafikia bado 30 (I stand to corrected). Hata kama sivyo bado at any rate huna sababu ya kujikatia tamaa hivyo! - Hutaki kuoa (mwingine) tena, maana watoto tayari unao....... hizi zote ni dalili za kukata tamaa. Nasikitika pengine hukupata mshauri mzuri wakat iule mambo yalipoanza kuharibika; mshauri ambaye angekuambua "First love for us Africans is often not the last love", and after all at your age there is still plenty of love opportunity this same sadist world can still offer to recuperate the past. Hapo ulipo huyo mume mwenziyo ana haki mbele ya mahakama zote za kisheria na za kijamii.

Naandika haya kwenye simu, labda nikifika nyumbani nitaweza ku-edit na kama ---- kuna haja. Point yangu mkuu ni kwamba masha yako tangu ukatishwe tamaa na mpenzi wako wa kwanza yametawaliwa na minyororo ya kisaikolojia na unahitaji kujinasua KIUME ili upate fursa ya kutimiza kikamilifu yote uliyoumbwa uyafanye ktk dunia hii.

Niwie radhi kama utahisi nimekuhukumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom