wakuu kuna NGO inaitwa RALEIGH INTERNATIONAL TANZANIA,kuna yeyote ameshawahi kuisikia ama anaifahamu vizuri?naomba kufahamishwa kidogo kuhusiana na hawa watu na wanashughulika na nini hasa.
Jaman hv kuna mtu kawah kuwasikia hawa wanaojiita RALEIGH INTERNATIONAL TANZANIA? kama kuna yeyote anayejua taarfa zao japo kwa kifup tu naomba kujuzwa.
Hshahaaaa nilisoma vibaya hio heading, nilidhani umeandika hivi: Nahitaji Kuuzwa
Back to ze topic....hawa jamaa Wako na ofisi mpya Morogoro kuna on time walikua wametangaza posts kadhaa kwa kupitia ule mtandao WA NGOs WA Tanzania kupitia VSO-Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.