Nahreel vs Mesen Selecta nani mkali

Nahreel vs Mesen Selecta nani mkali

Aliyetengeneza ule wimbo wa mwanaFa ft Gnako_Mfalme ndo producer bora kabisa.
 
nahreel ni atar sana katika production aikutakiwa ashndane na mesen labda kwenye kuimba naye mesen anabamba na ngoma zake ka za naija
 
kwa ile ngoma kanya boya!mesen mtu mbaya wewe kwa kuimba!navyomkubali huyu nigga yaani anaimba kama hayupo serious kivile lakini ngoma zake lazma uruke!.........kwa production mtoto nahreel mchafu sana

Ukitaka kuujua uwezo halisi wa Mesen kwenye uproducer na kuimba sikiliza hizi nyimbo mbili Nimempata-Pam Daffa ft Mesen & Kanyaboya-Mesen
 
Hivi kuna msanii mwingine unamjua ukiondoa MwanaFa na Ay?

Ni miaka 13 Sasa tangu aanzee kuvuta bangi,enzi hizo mimi mdogo sana nasoma shule ya msingi_
Tuliokuwa tunampa shkamoo,Leo hii ndo washkaji zake
Tunapotaka kusmoke,tu naenda kununua kwake

Wenzake wamesoma,wana majumba na magari/
Yeye yuko vile vile na kazi yake ya usadari.

Akikatwa ,ndugu ndo huja kumtoa,akishatoka,bangi kuuza ana endelea!!

Huyo sio fa wala Ay !!

Anaitwa juma mchopanga.

Nawajua wengi ,ila ninaowahusudu "sana" ni.

1.Fa_Gaucho wa bongo hip hop.
2.Fid q_zidane wa bongo hip hop.
3..Jaymoe_Figo wa Bongo hip hop.
4_Ay
5.Ally kiba.
 
Kwani Gaucho na Zidane nani zaidi?
 
moja ya kazi za nahreel ni nje ya box ya weusi.bonge la ngoma.

Niaje nivp pia alifanya Nahreel. Pia kafanya ngoma kama 3 hivi za zaman za Izzo B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom