.Mulize bi mkubwa wako ndio anajua wp akimuokotaKIkwete ni mmoja wa marais vituko sana dunian! Sijui walimwokota wapi!!
Sijui Mungu wako na wewe kakusikia yamemkuta na yeye ila jamani Baraza hili litaundwa tena jipya muda si murefu maana bado wako wale walitajwa kuwa Mizigo nao wako kadhaa, na hawa wa tokomeza ujangili, hata dogo Mathayo alipoona anatetewa alirukaruka kama vile alivyokuwa akifanya wakati anasoma SUA, baadaye na yeye akaombwa ayachukulie vilevile kama wenzake hata PhD yake kuna wakati ilitiliwa mashaka, sasa utendaji wake unatiliwa mashaka mwishowe Ubunge wake nao tutautilia mashaka madhara ya akili Mgando hata kwa :deadhorse: haisogeiHuyu Nahodha siwezi kumsahau aliniomba nimpe rushwa ili anipe press card wakati alipokuwa idara ya maelezo Zanzibar. Afadhali mwenyezi mola amemlipia.
KIkwete ni mmoja wa marais vituko sana dunian! Sijui walimwokota wapi!!
Nahodha aliteuliwa na kikwete kuwa mbunge ili apewe uwaziri baada ya kushindwa kwenye kura za kuwa mgombea wa uraisi zanziber kupitia ccm, alipewa uwaziri wa mambo ya ndani na kushindwa kuiongoza vizuri, amepewa wizara ya ulinzi ameshindwa kuiongoza..... Sasa umeshafikia mwisho wa nahodha.
Aliteuliwa bana na ndipo akawa mmoja wa mawaziri wa serikari ya jamhuri ya muungano! mbona ilitangazwa na vyombo vya habari Raisi kikwete amteua Shamsi kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya muungano kabla hajapewa uwaziri?Mkuu hapo umechemka,Nahodha ni MBUNGE WA JIMBO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR,sio wa kuteuliwa,msiandike msiyoyajua mkuu,ila ukweli amekuwa na roho mbaya sana hd kwa ndugu zake wa damu,anajiskia sana utadhani hakuwa maskini wa kuuza maji na kuendesha vibaiskeli njiani,aliteuliwa na rais kuwa waziri kiongozi wa zanzibar lkn hakuna mtu mjinga wa kauli na majivuno km Nahodha,wacha abaki na unaibu waziri kiongozi mstaafu na ubunge wake tu,hana adabu hata kidogo kwa jamaa na ndugu zake,watu wote wamefurahi sana na kumuonea huruma David matayo.
Mkuu hapo umechemka,Nahodha ni MBUNGE WA JIMBO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR,sio wa kuteuliwa,msiandike msiyoyajua mkuu,ila ukweli amekuwa na roho mbaya sana hd kwa ndugu zake wa damu,anajiskia sana utadhani hakuwa maskini wa kuuza maji na kuendesha vibaiskeli njiani,aliteuliwa na rais kuwa waziri kiongozi wa zanzibar lkn hakuna mtu mjinga wa kauli na majivuno km Nahodha,wacha abaki na unaibu waziri kiongozi mstaafu na ubunge wake tu,hana adabu hata kidogo kwa jamaa na ndugu zake,watu wote wamefurahi sana na kumuonea huruma David matayo.