Nahodha na mbio za panya

Arudi tu kwao akalime karafuu...

Sio lazima kila mtu awe mwanasiasa

Mtafutieni kitalu huko Tanganyika, Zanzibar hana nafasi ananuka., ameisaliti Zanzibar kitambo akitegemea kupata support Dodoma kuwa Rais wa Zanzibar ili aje aendelee kutuuwa., Shamsi hana kwao Zanzibar kwao ni Tanganyika.,
 
"kumuonea huruma David matayo."


Huyu kijana is a non performer sijui hata huo uwaziri walimpa kwa kuwa ni mtoto wa Msuya? Ameshindwa kabisa kuongoza hiyo wizara rahisi kabisa ya kitoweo; mbona mwenzie Magufuli alikuwepo hapo kwa muda na tuliona kazi aliyoifanya kuwakamata wavuvi haramu etc etc!!
 
Mbunge yeyote wa magamba asipokua waziri ktk uongozi wa Jk,basi aende akatambike maana anagundu!
 
Huyu Nahodha siwezi kumsahau aliniomba nimpe rushwa ili anipe press card wakati alipokuwa idara ya maelezo Zanzibar. Afadhali mwenyezi mola amemlipia.

Dunia ni duara kibwa, tena linazunguka, na lina mambo makubwa,

Unahodha wake umefika mwisho kinachofuata ajitose majini apige mbizi kurejea kisiwani

Yote hulipwa na Mungu hapahapa duniani
 
Nahodha ni mwakilishi wa mwanakwerekwe. Kwa sababu mwakilishi si sifa ya kuingia baraza la mawaziri wa Muungano, na kwa kuwa Kikwete alikuwa na mapenzi naye kupewa ulaji wa uwazi, ilimpasa Kikwete amteue kwanza kuwa mbunge ili kuhalalisha kumpa ulaji wa uwaziri. Ndio ushangae mtu huyo huyo ni mwakilishi wa mtutu wa bunduki, ni mbunge wa kuteuliwa, ni waziri wa mambo ya ndani, baada ya kuvurunda kapewa waziri wa ulinzi, baada ya kuvurunda nashauri ateuliwe mbunge wa afrika mashariki. Kule hakuna operesheni tokomeza. Hii nchi ni maajabu ya dunia ya Nahodha hadi arundikiwe mivyeo yote hiyo kwa utendaji gani?
 
Back
Top Bottom