Nahodha na mbio za panya

uboya

Member
Mar 26, 2013
65
19
Nahodha aliteuliwa na kikwete kuwa mbunge ili apewe uwaziri baada ya kushindwa kwenye kura za kuwa mgombea wa uraisi zanziber kupitia ccm, alipewa uwaziri wa mambo ya ndani na kushindwa kuiongoza vizuri, amepewa wizara ya ulinzi ameshindwa kuiongoza..... Sasa umeshafikia mwisho wa nahodha.
 
KIkwete ni mmoja wa marais vituko sana dunian! Sijui walimwokota wapi!!
 
Huyu Nahodha siwezi kumsahau aliniomba nimpe rushwa ili anipe press card wakati alipokuwa idara ya maelezo Zanzibar. Afadhali mwenyezi mola amemlipia.
 
Sijui Mungu wako na wewe kakusikia yamemkuta na yeye ila jamani Baraza hili litaundwa tena jipya muda si murefu maana bado wako wale walitajwa kuwa Mizigo nao wako kadhaa, na hawa wa tokomeza ujangili, hata dogo Mathayo alipoona anatetewa alirukaruka kama vile alivyokuwa akifanya wakati anasoma SUA, baadaye na yeye akaombwa ayachukulie vilevile kama wenzake hata PhD yake kuna wakati ilitiliwa mashaka, sasa utendaji wake unatiliwa mashaka mwishowe Ubunge wake nao tutautilia mashaka madhara ya akili Mgando hata kwa :deadhorse: haisogei
 
he was among the worst minister tuliowai kuwa nao alijitahidi sana kuwa na janja ya nyani ya kujificha chini ya kapeti ili asisikike hence asiwe exposed na udhaifu wake!!! cjui kikwete nae alitoka nae wapi hadi kumpa wizara nyeti kama mambo ya ndani!!!
 
Lakini huyu si alikuwa Chief Minister kwa miaka kumi mfululizo pale SMZ awamu nzima ya Karume?
 
akafie mbali kule kwenye mikarafu! huyu alikuwa mmoja wa viongozi vilaza kuwahi kutokea katika nchi hii.
 
kuna mwanakijiwe mwenetu utaki unaacha aliyasema mengi tukaona kama hadithi, lakini ndiyo yote yanayotokea
 
Nahodha aliteuliwa na kikwete kuwa mbunge ili apewe uwaziri baada ya kushindwa kwenye kura za kuwa mgombea wa uraisi zanziber kupitia ccm, alipewa uwaziri wa mambo ya ndani na kushindwa kuiongoza vizuri, amepewa wizara ya ulinzi ameshindwa kuiongoza..... Sasa umeshafikia mwisho wa nahodha.

Mkuu hapo umechemka,Nahodha ni MBUNGE WA JIMBO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR,sio wa kuteuliwa,msiandike msiyoyajua mkuu,ila ukweli amekuwa na roho mbaya sana hd kwa ndugu zake wa damu,anajiskia sana utadhani hakuwa maskini wa kuuza maji na kuendesha vibaiskeli njiani,aliteuliwa na rais kuwa waziri kiongozi wa zanzibar lkn hakuna mtu mjinga wa kauli na majivuno km Nahodha,wacha abaki na unaibu waziri kiongozi mstaafu na ubunge wake tu,hana adabu hata kidogo kwa jamaa na ndugu zake,watu wote wamefurahi sana na kumuonea huruma David matayo.
 
Aliteuliwa bana na ndipo akawa mmoja wa mawaziri wa serikari ya jamhuri ya muungano! mbona ilitangazwa na vyombo vya habari Raisi kikwete amteua Shamsi kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya muungano kabla hajapewa uwaziri?
 
Mkuu hapo umechemka,Nahodha ni MBUNGE WA JIMBO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR,sio wa kuteuliwa,msiandike msiyoyajua mkuu,ila ukweli amekuwa na roho mbaya sana hd kwa ndugu zake wa damu,anajiskia sana utadhani hakuwa maskini wa kuuza maji na kuendesha vibaiskeli njiani,aliteuliwa na rais kuwa waziri kiongozi wa zanzibar lkn hakuna mtu mjinga wa kauli na majivuno km Nahodha,wacha abaki na unaibu waziri kiongozi mstaafu na ubunge wake tu,hana adabu hata kidogo kwa jamaa na ndugu zake,watu wote wamefurahi sana na kumuonea huruma David matayo.

Hajachemka, nahodha si mbunge ni mwakilishi wa jimbo la kwerekwe ingawa alishinda kwa mtutu wa bunduki, aliteuliwa na rais kuwa mbunge, mbunge wa kwerekwe anaitwa sereweji nae pia alitangazwa kwa mtutu wa bunduki.
 
huyu kateuliwa mwanakwekwerekwe ya wapi kijana
Mkuu hapo umechemka,Nahodha ni MBUNGE WA JIMBO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR,sio wa kuteuliwa,msiandike msiyoyajua mkuu,ila ukweli amekuwa na roho mbaya sana hd kwa ndugu zake wa damu,anajiskia sana utadhani hakuwa maskini wa kuuza maji na kuendesha vibaiskeli njiani,aliteuliwa na rais kuwa waziri kiongozi wa zanzibar lkn hakuna mtu mjinga wa kauli na majivuno km Nahodha,wacha abaki na unaibu waziri kiongozi mstaafu na ubunge wake tu,hana adabu hata kidogo kwa jamaa na ndugu zake,watu wote wamefurahi sana na kumuonea huruma David matayo.
 
Mtukufu raisi mpeleke kwenye secta ya madini huko hakuhitaji akiri ni swala la kuuza vitaru na kusaini mikataba hata bila kuisoma ili mradi uwe umeshachukua chako.

Back
Top Bottom