Nenda kariakoo ukajionee walivyojaa Wasomali kwenye maduka na wana pasi za Tanzania! Halafu kiswahili hawajui, wana wakalimani!atachukua hatua kwani ni nchi yake?

Kama waziri anatakiwa kuchua hatua sio kulialia.
Kwani nchi ni ya nani? Imeshauzwa sisi hatuna habari au una lingine?atachukua hatua kwani ni nchi yake?