Nahitaji yafuatayo yawemo katika katiba mpya...

Apr 23, 2012
40
11
1. Tusiwe na wakuu wa wilaya. Na ikiwa watakuwepo, wapitie ktk chakato wa kura. Wachaguliwe na wananchi.

2. Tuwe na wagombea binafsi.

3. Mawaziri wasitokane na wabunge.

4. Tusiwe na wabunge wa viti maalum.

5. Rais akituhumiwa kujihusisha na makosa, ashitakiwe mahakamani.Ama akiwepo madarakani au anapokuwamestaafu.

6...

7...

8...

Na wengine muendelee na mawazo yenu.
 
6.katiba imeseme idadi kamili ya wizara zinazotakiwa kuwepo,na kuzitaja.Hii itasadia kuzuia uundwaji wa wizara zisizo za lazima kwa malengo ya kuwasaidia marafiki.
7.katiba itaje muda maalumu wa rais kuteua wabunge tangu kuundwa kwa serikali yake.pia sifa za watu wanaotakiwa kuteuliwa.
 
Back
Top Bottom