Hata mimi najua kuwa watakuja wengi. All in all hata mimi huwa natangaza kazi mbalimbali (graphics, web apps, mobile apps, etc) ila huwa naangalia bei ya soko ndo namlipa mtu siwezi mnyonya eti kisa wamekuja kibao.
By the way I'm a professional accountant na ethics and integrity huwa kwangu ni kipaumbele.
Think it this way:
Fani ya lawyers - muhuri tu wa ku attest/notarise wanacharge from 40k and above.
Fani ya accountants - muhuri kwenye hesabu za mwaka ni from 200k and above. Just muhuri.
Fani ya IT - website complete (hosting, domain, graphics, installations, customizations, etc) unataka uwape 100k.
Halafu unasema sio unyonyaji. Acheni kunyonya vijana wa IT bongo.