Nahitaji wataalamu wa kutengeneza miwani

Nahitaji wataalamu wa kutengeneza miwani

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Habari wadau,
Nilikuwa nahitaji sehemu nzuri ya kutengeneza (kuweka vioo) lens kwa ajili
ya miwani yangu ya Rimless. Nahitaji kujua bei na inachukuwa muda gani kukamilika.
Asante sana
 
Uko wapi? Kaa upo Dar nenda Survey baada ya njia ya kwenda Brajec mkono wa kushoto ukitoka UDSM. Ni wastani wa saa 5 hadi 6 unapata. Au nenda Magomeni baada ya Kanisa la Lutheran ukitokea unapoenda Morocco upande wa kushoto kwenye stand ya mpya ya mabasi ya masafa marefu.
 
Ahsante sana Mwihadisa kwa maelekezo yako mazuri.
Vipi gharama zao zinakuwaje.
Uko wapi? Kaa upo Dar nenda Survey baada ya njia ya kwenda Brajec mkono wa kushoto ukitoka UDSM. Ni wastani wa saa 5 hadi 6 unapata. Au nenda Magomeni baada ya Kanisa la Lutheran ukitokea unapoenda Morocco upande wa kushoto kwenye stand ya mpya ya mabasi ya masafa marefu.
 
Last edited by a moderator:
mimi napenda staili ya kioo kama hii

miwani2.JPG
Ziko fair sana inategemea unataka aina gani? Ila Magomeni ndio cheap zaidi
 
Back
Top Bottom