jingojames
JF-Expert Member
- Mar 12, 2010
- 886
- 453
Kwa bajeti yako hiyo tafuta madalali wa magari wakutafutie gari ya mtu mwenye shida ya hela!
Mwenye kuuza Vitz iwe vizuri,gearbox,engine na body safi.Number c. 0789747452 Tuma sms
Nenda BefowardWee Pasco... muingize mwenzako mkenge.... hilo sio kweli..!! Utamtia hasara mwenzako ww... hakuna gari sasa hv utaagiza hadi kutoa kwa 5.5 M... hakuna..!!
Pssco unamaana ushuru,msnunuzi,na Usafiri ni 5.5?
Sio akinunua sema kuagiza huko jp nk!... kununua tu hapa bongo unaweza daka ndinga kwa bei poa tu!...Aisee mwaka huu MTU akinunua Gari MPE heshima zake
kuileta sio shida shida kodi pale tra
![]()
BF541812
TOYOTA Vitz
Year: 2002 / 7
Mileage: 93,458 km
Vehicle Price: $460
Save: $459 (49%)
Detail![]()
BF540738
TOYOTA Vitz
Year: 2000 / 12
Mileage: 92,396 km
Vehicle Price: $511
Save: $918 (64%)
Detail![]()
BF543938
TOYOTA Vitz
Year: 2000 / 4
Mileage: 93,179 km
Vehicle Price: $521
Save: $449 (46%)
Detail![]()
BF544171
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 7
Mileage: 87,801 km
Vehicle Price: $552
Save: $469 (45%)
Detail![]()
BF541730
TOYOTA Vitz
Year: 2004 / 8
Mileage: 46,868 km
Vehicle Price: $613
Save: $663 (51%)
Detail![]()
BF544511
TOYOTA Vitz
Year: 2000 / 1
Mileage: 74,333 km
Vehicle Price: $643
Save: $429 (40%)
Detail![]()
BF544501
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 9
Mileage: 101,944 km
Vehicle Price: $654
Save: $336 (33%)
Detail![]()
BF542312
TOYOTA Vitz
Year: 1999 / 6
Mileage: 38,714 km
Vehicle Price: $694
Save: $327 (32%)
Detail![]()
BF543937
TOYOTA Vitz
Year: 2004 / 5
Mileage: 110,678 km
Vehicle Price: $694
Save: $429 (38%)
Detail![]()
BF545469
TOYOTA Vitz
Year: 2000 / 3
Mileage: 146,315 km
Vehicle Price: $756
Save: $112 (12%)
Detail![]()
BF541701
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 8
Mileage: 95,033 km
Vehicle Price: $766
Save: $357 (31%)
Detail![]()
BF545538
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 7
Mileage: 77,431 km
Vehicle Price: $766
Save: $204 (21%)
Detail![]()
BF551032
TOYOTA Vitz
Year: 1999 / 8
Mileage: 82,908 km
Vehicle Price: $766
Detail![]()
BF543929
TOYOTA Vitz
Year: 2003 / 7
Mileage: 62,046 km
Vehicle Price: $786
Save: $439 (35%)
Detail![]()
BF542528
TOYOTA Vitz
Year: 2002 / 4
Mileage: 112,013 km
Vehicle Price: $868
Save: $612 (41%)
Detail![]()
BF545217
TOYOTA Vitz
Year: 2005 / 7
Mileage: 102,252 km
Vehicle Price: $868
Save: $357 (29%)
Detail![]()
BF545831
TOYOTA Vitz
Year: 2000 / 1
Mileage: 53,861 km
Best Deal$
Vehicle Price: $888
Save: $133 (13%)
Detail![]()
BF541658
TOYOTA Vitz
Year: 1999 / 7
Mileage: 52,400 km
Vehicle Price: $919
Save: $204 (18%)
Detail![]()
BF543857
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 7
Mileage: 123,364 km
Vehicle Price: $919
Save: $408 (30%)
Detail![]()
BF545271
TOYOTA Vitz
Year: 2001 / 7
Mileage: 130,825 km
Vehicle Price: $949
Save: $378 (28%
Haiwezekani kodi ni kubwa mno bandalini unawza ukaiagiza ila ukashindwa kuitoaAsanteni, mnaonishauri kuagiza Japan, budget yangu ni 6m to, itawezekana kweli
Vitz hiyo hapo bei milion 6. 2Mwenye kuuza Vitz iwe vizuri,gearbox,engine na body safi.Number c. 0789747452 Tuma sms
Mkuu gari unanunua namba au ubora wake na matunzo? Unaweza ukanunua c hata d na ukaambulia uozo.Khaaa namba B 6 millions haaa
Agiza Be Forward mpaka TZ na Ushuru ni 5.5 but takes 14-30 days
Pasco
Unaponunua gari angalia body na engine na kamwe usijaribu kununua gari afu ukaangalia namba utalia ukisaga meno.Khaaa namba B 6 millions haaa
Ni Kweli najua sanMkuu gari unanunua namba au ubora wake na matunzo? Unaweza ukanunua c hata d na ukaambulia uozo.
Agiza Be Forward mpaka TZ na Ushuru ni 5.5 but takes 14-30 days
Pasco
Dah!! Kwaiyo mkuu bei ya ushuru inakaribiana na bei ya ununuz wa gari? Hii ni hatari sana means ushuru usingekuwepo mtu ungeweza kununua hata magari ma 2Kununua na kuleta Vitz Dar Port si chini ta 4M na ushuru si chini ya 3.5M