Nahitaji vifungashio vya mikate na keki

Closed_Mind

Member
Mar 14, 2017
19
10
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kufahamishwa ni wapi kwa hapa Dar es Salaam nitapata vifungashio vya mikate (sehemu ya kuprint mifuko) na keki. Naambatanisha picha za baadhi ya vifungashio vya keki ninavyohitaji...

Ninatanguliza shukran za dhati kwa yeyote ataeguswa na kunipa msaada.

Karibuni:
9d65512f6c947fc3894fc0af4ab1b559.jpg

a381c7945c5ecb096c9ac76393dc070f.jpg
8549bab843b78fba2aac60346af979a4.jpg
 
Nenda mbozi road karibu na Vita fom kiwanda kinaitwa Zentaza plastic hii mifuko utaipata. Hivi vingine nenda kariakoi ulizia jamaa anaitwa Anjuani utapata mwanzo mzuri. Ukikosa ni pm
 
Nenda mbozi road karibu na Vita fom kiwanda kinaitwa Zentaza plastic hii mifuko utaipata. Hivi vingine nenda kariakoi ulizia jamaa anaitwa Anjuani utapata mwanzo mzuri. Ukikosa ni pm
Shukran sana kaka. Hakika umenipa mwongozo mzuri..Huyo Anjuani anapatikana mtaa upi hapo kariakoo?
 
Mifuko ni hicho kiwanda nilichokuambia kama uko bize mm naweza kukuulizia bei na wanazalisha kuanzia mingapi
 
Mifuko ni hicho kiwanda nilichokuambia kama uko bize mm naweza kukuulizia bei na wanazalisha kuanzia mingapi
centaza kwa anayeanza gharama inakuwa kubwa kiasi kwa kuwa unalipia na vibao (kibao kimoja tshs. 600,000/=) ila si mbaya aende pia akishindwa hapo ajaribu omar packaging industrial ltd.
 
Shukran wakuu #Mkwaruu#nsereko m#perfectz# kwa kuguswa na hili..nimepata kitu na pakuanzia pia...ngoja nifuatilie kwa kina maeneo ambayo mmenitajia..nitakuja na mrejesho hapa Inshaallah.
 
Gemab Enterprises wanajishughulisha na vifungashio vya aina zote pamoja na printing,logo ,mabango nk.nicheck whatsup 0713262188 kwa maelekezo ukitaka unaletewa hadi nyumbani
 
Attachments

  • IMG-20170527-WA0007.jpg
    IMG-20170527-WA0007.jpg
    54.4 KB · Views: 137
  • IMG-20170527-WA0010.jpg
    IMG-20170527-WA0010.jpg
    42.5 KB · Views: 145
centaza kwa anayeanza gharama inakuwa kubwa kiasi kwa kuwa unalipia na vibao (kibao kimoja tshs. 600,000/=) ila si mbaya aende pia akishindwa hapo ajaribu omar packaging industrial ltd.
Mkuu hao centaza wako wapi?
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kufahamishwa ni wapi kwa hapa Dar es Salaam nitapata vifungashio vya mikate (sehemu ya kuprint mifuko) na keki. Naambatanisha picha za baadhi ya vifungashio vya keki ninavyohitaji...

Ninatanguliza shukran za dhati kwa yeyote ataeguswa na kunipa msaada.

Karibuni:
9d65512f6c947fc3894fc0af4ab1b559.jpg

a381c7945c5ecb096c9ac76393dc070f.jpg
8549bab843b78fba2aac60346af979a4.jpg
Mku ulifanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom