Nahitaji Vifungashio vya asali

Nahitaji Vifungashio vya asali

aidan cosmas

New Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Wakuu habarini za leo, nipo mkoani nahitaji packages za asali kuanzia 5lt 1 lt na 0.5lt naomba msaada kuwapata wazalishaji/ watengenezaji wa vifungashio hivi vya asali, au pia kwa anaye jua nitavipataje pia na label yake nitafurahi saana.

Unaweza tuma baadhi ya picha ya baadhi ya vifungashio

0759236131 whatsapp no
 
Kiswahili kigumu:

Huku mtaani kwetu vifuniko vya asali ni chupi za kina dada.

Biz njema mkuu.
 
Uko mkoa gani?
Wakuu habarini za leo, nipo mkoani naitaji packages za asali kuanzi 5lt 1 lt na 0.5lt naomba msaaada kuwapata wazalishaji/watengenezaji wa vifungashio hivi vya asali, au pia kwa anae jua nitavipataje pia na rebel yake nitafurai saaana.

Unaweza tuma baadhi ya picha ya baashi ya hifungashio

0759236131 whatsapp no
 
Mkuu kwema nenda pale k.koo soko dogo kuna kila aina ya Vifungashio kama unahitaji contact nichek inbox
 
Back
Top Bottom