Nyamtukila Member Joined Dec 9, 2017 Posts 29 Reaction score 5 Dec 10, 2017 #1 Wadau nipen msaada kuhusu hiv vibao vyeus vinavyowakawaka madukani kwa maandishi ya "karibu" MPESA/TIGOPESA etc" , "Open", na vingine vina michoro kama mkasi hasa kwenye salons, Vibao hiv huwa vinauzwa au kutengenezwa wapi
Wadau nipen msaada kuhusu hiv vibao vyeus vinavyowakawaka madukani kwa maandishi ya "karibu" MPESA/TIGOPESA etc" , "Open", na vingine vina michoro kama mkasi hasa kwenye salons, Vibao hiv huwa vinauzwa au kutengenezwa wapi
simpasa 202 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 297 Reaction score 202 Dec 10, 2017 #2 Ngoja walete uhondo
fredymkanza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 284 Reaction score 152 Dec 10, 2017 #3 Subiri wanakuja
I and myself JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 328 Reaction score 326 Dec 10, 2017 #4 Vinauzwa hivyo nenda kariakoo kwenye maduka ya wachina yanayo deal na mambo ya vifaa vya umeme utavipata
Vinauzwa hivyo nenda kariakoo kwenye maduka ya wachina yanayo deal na mambo ya vifaa vya umeme utavipata
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,531 Reaction score 18,727 Dec 10, 2017 #5 Uko wapi
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Dec 10, 2017 #6 Unaweza pia ukatengeneza mwenyewe kama una vifaaa au kanunue madukani vinauzwa maeneo mengi tu
Nyamtukila Member Joined Dec 9, 2017 Posts 29 Reaction score 5 Dec 10, 2017 Thread starter #7 mjr95 said: Uko wapi Click to expand... Nipo Dsm,
Nyamtukila Member Joined Dec 9, 2017 Posts 29 Reaction score 5 Dec 10, 2017 Thread starter #8 Hivi vitu huwa vinakuwa custumized yaan wakuandikie unachokitaka?
Erick Kalemela R I P Joined Nov 19, 2017 Posts 814 Reaction score 1,026 Dec 11, 2017 #9 Njoo kariakoo utavipata ukiona utasumbuka njoo kijana wangu akupeleke Dukani maana shughuli zangu nafanyia kariakoo
Njoo kariakoo utavipata ukiona utasumbuka njoo kijana wangu akupeleke Dukani maana shughuli zangu nafanyia kariakoo
Nyamtukila Member Joined Dec 9, 2017 Posts 29 Reaction score 5 Dec 13, 2017 Thread starter #10 Erick Kalemela said: Njoo kariakoo utavipata ukiona utasumbuka njoo kijana wangu akupeleke Dukani maana shughuli zangu nafanyia kariakoo Click to expand... Ahsant mkuu,
Erick Kalemela said: Njoo kariakoo utavipata ukiona utasumbuka njoo kijana wangu akupeleke Dukani maana shughuli zangu nafanyia kariakoo Click to expand... Ahsant mkuu,
Abra One JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 918 Reaction score 380 Dec 13, 2017 #11 Nyamtukila said: Hivi vitu huwa vinakuwa custumized yaan wakuandikie unachokitaka? Click to expand... inawezekana kabisa mkuu
Nyamtukila said: Hivi vitu huwa vinakuwa custumized yaan wakuandikie unachokitaka? Click to expand... inawezekana kabisa mkuu