Kwa kweli mimi ni mwoga and I enjoy being muoga maana matokeo ya uoga wangu ndo huwa yananipa amani...na si kwa mpenz tu hata kwa rafiki,bosi,ndugu...kifupi huwa sipendi kushutumiwa kwa jambo lolote. Kwa sababu mtu akinishitumu kwa jambo lisilo la kweli huwa naumia sana so najiweka kwenye mazingira ya kutoshutumiwa......
Wanasemaga utu uzima dawa kumbe hata watoto wana busara lol....ole wako unijibu
Nahisi kama huo msiba haukuhusu binti.
Wewe mwambie tu Boyfriend wako kuwa wataka enda kwenye msiba wa huyo rafiki yako then sikiliza atakavyosema alafu fata ayasemayo.
Urafiki upo tongozo ni kawaida so sioni kuna ubaya wakwenda then nenda kama mtu mwingine not as a friend hii ni dunia leo kwako kesho kwa mwenzio ni hayo tu
Huo msiba unakuhusu nini????? Ukimpa pole inatosha labda kama kuna unachoitaji toka kwake.
we ni muongo,umeshavunja amri ya 6 na huyo mfiwa, na ndo maana ukaribu ukazidi,halafu wewe hujafiwa aliyefiwa ni yeye,hivyo basi mjulishe boy wako ili muende nae.
asante maana ulikuwepo kumsaidia kunishka miguu
we bikra?
UMBEA NI AFYA CUM MATIBABU:A S wink:ni ajabu at zc age.au unataka umbea
Kumbuka ni rafiki yake huyo wameshashirikiana kwenye mambo mengi
kama mwanajamii una nihusu.tumefanya meng before kitongozo.
Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.
Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kaz
Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis
nilipo pata mpnz hakufurahia nam nikajitahd kupunguza ukarbu.japo mpnz wangu alikuja ona text yake.akapata mashaka nikamwambia ishu nzma akaelewa na kulipotezea.
Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe...nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba..lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.
nakushauli ubadilishe Id yako uitwe weak gal.
vita vya panzi???
Kwanza inaonekana nhuna huo umri ....
Naka unao basi ni hatari sana ....
Una umri wa miaka 25 halafu hujui hata kuandika kwa heshima na adabu?
Hivi hujui humu kuna mama,dada,kaka na baba zako?
Unawezaje kumuandikia baba yako ujumbe kama ulivyoandika kijinga jinga hivyo?
Hivi nyie watoto nani amewaharibu ubongo wenu?
Furaha ya kunguru