Nahitaji ushauri

Nahitaji ushauri

Si umwambie huyo kipenzi chako muongozane msibani?
 
Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.

Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kazi.

Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

nilipo pata mpenzi hakufurahia nami nikajitahidi kupunguza ukaribu japo mpenzi wangu alikuja ona text yake akapata mashaka nikamwambia ishu nzima akaelewa na kulipotezea.

Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.

Kuna matatizo mengine kweli yanahitaji ushauri lakini sio hili la kwako. Mimi binafsi sioni cha kukushauri.
 
kwanza unaonekana upo vizuri kwenye kuchat.. pili inaonyesha kuna mengi umeyaficha huenda ulishatembea naye!!
ok kama unamheshimu mpenzi wako mwambie kuwa yule jamaa kafiwa na mkewe hivyo unatakiwa kwenda msibani atakachokuambia pia kiheshim na usibishane nacho!!!
ni hayo tu....

Thread closed
 
nakushauri umfariji huyo jamaa na umlelee watoto wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom