Nahitaji ushauri

Nahitaji ushauri

Hahahaha wazee vijana mmedata! Neno 7bu na single ndo limewakwaza mpaka ikabidi muulize watoto
 
Kwanza inaonekana nhuna huo umri ....
Naka unao basi ni hatari sana ....

Una umri wa miaka 25 halafu hujui hata kuandika kwa heshima na adabu?
Hivi hujui humu kuna mama,dada,kaka na baba zako?
Unawezaje kumuandikia baba yako ujumbe kama ulivyoandika kijinga jinga hivyo?

Hivi nyie watoto nani amewaharibu ubongo wenu?

inatosha mkuu, msamehe na umshauri sasa
 
Usiende maana jamaa anaweza akawa kauwa ili akupate lol murder nawe suspect number 1 joking
 
Kwanza ukome kutuandikia kiswahili cha fesibuku hapa
Pili pole na msiba
Tatu, hebu shauriana na halmashauri yako kichwani kama inafaa kwenda msibani au la!
Nne, Kwa ushauri wangu kama msiba ni wa kusafiri usiende kama msiba uko hapo hapo eneo unaloishi nenda tu kwasababu baada ya shughuli za msiba utarudi nyumbani

akisafiri tu ameliwa..
 
Kwani mpenzi wako ndiye anayekuamulia mambo yako binafsi?

Kama unadhani huyo bwana ni rafiki yako basi nenda msibani, ila kama hujiamini kuwa ulikataa toka moyoni kumgea mbunye basi endelea kujishuku na msibani usiende...

ila akikurupuka pia anaweza mkosa mpenzi wake
 
Kwani mpenzi wako ndiye anayekuamulia mambo yako binafsi?

Kama unadhani huyo bwana ni rafiki yako basi nenda msibani, ila kama hujiamini kuwa ulikataa toka moyoni kumgea mbunye basi endelea kujishuku na msibani usiende...

shikamoo.ndo maana unapendwa sana humu ndan.maana unauwezo wa kuelewa nin mtu anapitia.ntafuata vle nafs yangu yaona ni vyema..na nikwenda msibani
 
kama boy wako hana mwelekeo hiyo ni opportunity! Siku hizi tunatumia akili moyo tunautumia kwa kula raha za dunia tu kama kuku kwa mrija wine baridiii na kuwalea wanetu na wazazi! Hawa wanaume usiwape moyo wako wataukunja! Akili mkichwa
 
kwanza unaonekana upo vizuri kwenye kuchat.. pili inaonyesha kuna mengi umeyaficha huenda ulishatembea naye!!
ok kama unamheshimu mpenzi wako mwambie kuwa yule jamaa kafiwa na mkewe hivyo unatakiwa kwenda msibani atakachokuambia pia kiheshim na usibishane nacho!!!
ni hayo tu....

asante ndugu.nimepata ujasiri wa kuongea na mpnz wangu..kaelewa na kanambia haoni sababu ya mim kutokwenda...mambo mengne yaki rise itakua ni akil yangu ku amua....hvyo naenda kwa amani zote.asante kwa mda wako
 
shikamoo.ndo maana unapendwa sana humu ndan.maana unauwezo wa kuelewa nin mtu anapitia.ntafuata vle nafs yangu yaona ni vyema..na nikwenda msibani

Pia zingatia ushauri wa ram kama msiba unakuhitaji kusafiri huna haja ya kwenda huko...

Mpenzi wako unaweza ukampa tu taarifa kuwa umeenda msibani kwani rafiki yako kafikwa na msiba...akihitaji maelezo zaidi ndio utayatoa
 
Last edited by a moderator:
ila wana MMU kuna hii tabia ya kupinga na kukosoa thread za wenzenu sio nzuri kwa kweli...!!!
mwenzenu kaja kuomba ushauri nyinyi mnamkatisha tamaa!! yeye mwenyewe alijua kama kaandika vibaya ndo maana mwisho akaomba radhi kwa mwandiko wake...
mnazingua bhana Honey Faith , Eiyer mmeniboa sana sio ishu nawaambia kweli....!!!!

asante.nilitaman kulia.maana m mwenyewe sielew nan nimuombe ushaur kwa mda huu.na cjawah omba ushaur ktk social media yoyote.na nilikua na andka huku natetemeka.ila cyo mbaya ya walimwengu meng...asante ndugu.nipo salama saiz
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhh mi naona mnamshambulia bure huyu mtoto....alichokiandika kibaya hapo ni nini mbona kaandika kawaida tu....??
Back to topic...jaribu kumgusia mpenzi wako suala la kwenda msibani uone atasemaje. Akikukatalia using'ang'anize jifanye hata umesafiri ili huyo rafiki yako asikuelewe vibaya (urafiki upo tu kukutongoza isiwe sababu ya kuvunja urafiki. Hawa viumbe wetu ni wadhaifu inabidi kuchukuliana nao)..... Na kama ikiwezekana mpenz wako akusindikize

daaah jaman..hata sijui nikushukuru vipi..asante sana ndugu.nime ongea nae na nitafikia kwa cousin wa mpnz wangu.yaan hata mpnz wangu kanishangaa y nafika mbal wakat ni jambo la msiba na hapo nyuma kabla ya kutongozwa tume fanya meng ya maendeleo na huyu kaka...suala ya kutongozwa naweka pemben na angalia msiba..tukizika nageuza.
 
ila wana MMU kuna hii tabia ya kupinga na kukosoa thread za wenzenu sio nzuri kwa kweli...!!!
mwenzenu kaja kuomba ushauri nyinyi mnamkatisha tamaa!! yeye mwenyewe alijua kama kaandika vibaya ndo maana mwisho akaomba radhi kwa mwandiko wake...
mnazingua bhana Honey Faith , Eiyer mmeniboa sana sio ishu nawaambia kweli....!!!!

Inaskitisha kwa kweli, maana walivyomkomalia utasema wanajuana.
 
Last edited by a moderator:
Pia zingatia ushauri wa ram kama msiba unakuhitaji kusafiri huna haja ya kwenda huko...

Mpenzi wako unaweza ukampa tu taarifa kuwa umeenda msibani kwani rafiki yako kafikwa na msiba...akihitaji maelezo zaidi ndio utayatoa

asante..ila c mbal sana ni mkoa mwingne lakn 4hrz had kufka..na nitaenda tu na ukwel wote nimemwambia..nina hsia sana hvyo nimemwambia zote has na chanya kaelewa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom