strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 216
- Thread starter
- #61
jamaa kafiwa na my wife wake. hala hala baada ya msiba. Wamama tulivyo na huruma tena. Ukishakuwa na mwenza mahusiano na jinsi nyingine yafanywe kwa uangalifu tafadhali.
hlo pia lilikua wazo.maana ata anza kunipumzkia na upweke as nashow concern kubwa..lakn ntajitah kua na muangalfu.bila huruma ya kuniangamiza