Nahitaji ushauri

Nahitaji ushauri

strong gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
271
Reaction score
216
Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.

Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kazi.

Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

nilipo pata mpenzi hakufurahia nami nikajitahidi kupunguza ukaribu japo mpenzi wangu alikuja ona text yake akapata mashaka nikamwambia ishu nzima akaelewa na kulipotezea.

Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.
 
Achana naye huyo mpuuzi!!! plz ni pm namba zako mimi niko single, na kuoelewa ni lazma.
 
Ushauri wa kwanza siku nyingine ukiandika tumia kiswahili fasaha ili ueleweke.
Halafu tayari una mpenzi na jamaa ana mke wake unataka tena ushauri gani zaidi ya kutulia na mpenzi wako?
 
habari zenu wa mmu
mim ni bint wa miaka 25..kuna kaka nilmsaidia kaz fulan.na urafik uka anzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kaz

kama baada ya mwaka huyu kaka aka anza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marfk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

nilipo pata mpnz hakufurahia nam nikajitahd kupunguza ukarbu.japo mpnz wangu alikuja ona text yake.akapata mashaka nikamwambia ishu nzma akaelewa na kulipotezea.

kanambia asbh hii kua kafiwa na mkewe...nam nahc nahtaj kwenda..as msiba ni msiba..lakn mpnz wangu ata nifikiriaje?naweka pcha gan?nin maswal meng.kichwan hata c elew lakufanya.samahan kwa uandsh mbaya

Kwanza inaonekana nhuna huo umri ....
Naka unao basi ni hatari sana ....

Una umri wa miaka 25 halafu hujui hata kuandika kwa heshima na adabu?
Hivi hujui humu kuna mama,dada,kaka na baba zako?
Unawezaje kumuandikia baba yako ujumbe kama ulivyoandika kijinga jinga hivyo?

Hivi nyie watoto nani amewaharibu ubongo wenu?
 
Ushauri wa kwanza siku nyingine ukiandika tumia kiswahili fasaha ili ueleweke.
Halafu tayari una mpenzi na jamaa ana mke wake unataka tena ushauri gani zaidi ya kutulia na mpenzi wako?

asante kwa ushaur.ndo maana nime omba samahan kwa uandish mbaya.
 
inaelekea ulikua mtoro kweny somo la mwandko primary... anyway sasa cha ajab hapo nini!! kwenda kweny msiba ndo boy wako atakufkiria mbaya??

wote mambulura......
 
Kwanza inaonekana nhuna huo umri ....
Naka unao basi ni hatari sana ....

Una umri wa miaka 25 halafu hujui hata kuandika kwa heshima na adabu?
Hivi hujui humu kuna mama,dada,kaka na baba zako?
Unawezaje kumuandikia baba yako ujumbe kama ulivyoandika kijinga jinga hivyo?

Hivi nyie watoto nani amewaharibu ubongo wenu?

ninachoipendea jf id cyo za kwel.na ukihitaj ushaur kubaliana na yote.asante pia kwa comment yako..ntajitahd kua na adabu muda mwingne.
 
inaelekea ulikua mtoro kweny somo la mwandko primary... anyway sasa cha ajab hapo nini!! kwenda kweny msiba ndo boy wako atakufkiria mbaya??

wote mambulura......

asante kwa umburura wangu wa kuja kuandka hapa shda yangu...kwel kubwa lako dogo kwa mwenzio...
 
kama baada ya mwaka huyu kaka aka anza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marfk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

kanambia asbh hii kua kafiwa na mkewe...nam nahc nahtaj kwenda..as msiba ni msiba..lakn mpnz wangu ata nifikiriaje?naweka pcha gan?nin maswal meng.kichwan hata c elew lakufanya.samahan kwa uandsh mbaya

kwanza unaonekana upo vizuri kwenye kuchat.. pili inaonyesha kuna mengi umeyaficha huenda ulishatembea naye!!
ok kama unamheshimu mpenzi wako mwambie kuwa yule jamaa kafiwa na mkewe hivyo unatakiwa kwenda msibani atakachokuambia pia kiheshim na usibishane nacho!!!
ni hayo tu....
 
Achana nae ila tumia busara

asante mpendwa kwa ushauri.hofu yangu kubwa nilposikia suala la msiba.kibinadam nimeshtuka sana.ukizngatia hajaumwa..lakn maswal meng yakawa yananijia kchwan...yakua tendo lolote ntalolfanya kuanzia sasa ni mbegu..
 
Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.

Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kaz

Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

nilipo pata mpnz hakufurahia nam nikajitahd kupunguza ukarbu.japo mpnz wangu alikuja ona text yake.akapata mashaka nikamwambia ishu nzma akaelewa na kulipotezea.

Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe...nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba..lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.

huyo ni ---- hyo ni njia ya kukupata ww mwambie umebanwa iwapo mme wako akajua umeenda ndoa itakua matatani
 
Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe...nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba..lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.

Kwani mpenzi wako ndiye anayekuamulia mambo yako binafsi?

Kama unadhani huyo bwana ni rafiki yako basi nenda msibani, ila kama hujiamini kuwa ulikataa toka moyoni kumgea mbunye basi endelea kujishuku na msibani usiende...
 
ila wana MMU kuna hii tabia ya kupinga na kukosoa thread za wenzenu sio nzuri kwa kweli...!!!
mwenzenu kaja kuomba ushauri nyinyi mnamkatisha tamaa!! yeye mwenyewe alijua kama kaandika vibaya ndo maana mwisho akaomba radhi kwa mwandiko wake...
mnazingua bhana Honey Faith , Eiyer mmeniboa sana sio ishu nawaambia kweli....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhh mi naona mnamshambulia bure huyu mtoto....alichokiandika kibaya hapo ni nini mbona kaandika kawaida tu....??
Back to topic...jaribu kumgusia mpenzi wako suala la kwenda msibani uone atasemaje. Akikukatalia using'ang'anize jifanye hata umesafiri ili huyo rafiki yako asikuelewe vibaya (urafiki upo tu kukutongoza isiwe sababu ya kuvunja urafiki. Hawa viumbe wetu ni wadhaifu inabidi kuchukuliana nao)..... Na kama ikiwezekana mpenz wako akusindikize
 
Kwani mpenzi wako ndiye anayekuamulia mambo yako binafsi?

Kama unadhani huyo bwana ni rafiki yako basi nenda msibani, ila kama hujiamini kuwa ulikataa toka moyoni kumgea mbunye basi endelea kujishuku na msibani usiende...
sijaona button ya like hapa ila mkuu watu8 umeongea bonge la point....
 
Last edited by a moderator:
Huyo mume wa mtu mtumie tu message na mistari toka kitabu takatifu wala usiende! Maana unaenda kama nani! Mchepuko kishawishi na jifunze kujiweka nafasi ya mwenZio ingekuwa ni yeye ungejiskiaje! Tulia hapo na boy wako usitafute makuu!
 
Kwanza ukome kutuandikia kiswahili cha fesibuku hapa
Pili pole na msiba
Tatu, hebu shauriana na halmashauri yako kichwani kama inafaa kwenda msibani au la!
Nne, Kwa ushauri wangu kama msiba ni wa kusafiri usiende kama msiba uko hapo hapo eneo unaloishi nenda tu kwasababu baada ya shughuli za msiba utarudi nyumbani

Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.

Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kaz

Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis

nilipo pata mpnz hakufurahia nam nikajitahd kupunguza ukarbu.japo mpnz wangu alikuja ona text yake.akapata mashaka nikamwambia ishu nzma akaelewa na kulipotezea.

Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe...nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba..lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom