strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 216
- Thread starter
- #41
kama boy wako hana mwelekeo hiyo ni opportunity! Siku hizi tunatumia akili moyo tunautumia kwa kula raha za dunia tu kama kuku kwa mrija wine baridiii na kuwalea wanetu na wazazi! Hawa wanaume usiwape moyo wako wataukunja! Akili mkichwa
asante kwa ushaur.ila cwez toka na huyu kaka alofiwa..hata kama niachane na mpnz wangu...hatuwez dumu..mambo meng tunapishana..anafaa kua rfk tu wa kawaida.