Jilanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 255
- 40
Kama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze kumfahamu zaidi tabia na mwenendo kwa ujumla, kabla sijamtamkia/kumwomba rasmi uchumba, Hata hivyo ilikuwa mapema mno kwa she was at O'level kwa maana kwamba kahitimu form iv last year! Baada ya kuhitimu matokeo yake hayakuwa mazuri! Kutoka na urembo na maadili alokuwa nayo alivuta wanaume wengi na hivyo nilipata taarifa kuwa anamchumba na anamtafutia center ya kuresit paper ikiwa ni pamoja na gharama za mitihani! Na kikubwa zaidi ameshamtambulisha home kwao!
Cha ajab binti amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinitaka 2we wachumba! Nikimuliza juu ya mchumbake ananiambi alijikuta amefanya maamuzi potovu kutoka na stree za paper kwan baada ya kutulia alitokea kumtoa moyo kadri siku zinavyozidi kwenda kutoka na kupata skendo kibao za msela na kanihakikishia kuwa wana muda hawana mawasiliano, na kuwa anahisi yeye ni moja ya mbavu zangu! Ki ukweli mi nampenda sana!
Je wanajamvin as critical thinkers, I'm waitin 2hear from u, what should I do?