Nahitaji ushauri wenu!

Hujaelewa nin! We hujaona serikali ikitoa vipao-mbele 12! Nowadays hakuna cha mshika mbili moja humponyoka! It just a matter of scale of preference!
 
Huyo kwangu namwona mdogo na wala hajajua anataka nini hapa duniani.Msisitizie asome kwanza hayo mengine baadae mlipie hiyo kuresit ambayo ni kiasi kidogo,ila kwa upande mwingine nawashangaa hao wazazi waliokubali mchumba kwa mtoto mdogo hivyo kwa upande wangu nadhan nisingekubaliana na hilo
 
Kicheche hicho. Lkn kuwa makini kama aliweza mtosa huyo anayemhudumia kila ki2 hata ww atakutosa. Inshort yaliyomkuta jamake wa mwanzo na ww yatakukuta.

Ni kweli kabisa unavyosema dullah b....mtoto ni kicheche...form four two ashatambulisha mtu kwao....angalia pengine kaka hapo utakwama njiani.
 
Ni kweli kabisa unavyosema dullah b....mtoto ni kicheche...form four two ashatambulisha mtu kwao....angalia pengine kaka hapo utakwama njiani.
Anadai kuwa mchizi anakashfa kibao lakin pia kama vile hawana vi2 vya common!
 
Back
Top Bottom