imani_amani
Member
- Oct 2, 2015
- 22
- 1
Nimemaliza form six mwaka huu. Nilisoma Cbg na matokeo yalipotoka nkajua nina credit ya 2.3
Nika apply chuo na makosa nliyofanya kwa maana nilikuwa jeshini na kuna mtu alinisaidia ku apply, yeye hakufanya consideration ya capacity ya vyuo na cutting point zake so nkakosa round ya kwanza ya udahili
Nlipoanza kuapply for the 2nd round nikawa sipati mpaka round ya nne nkaamua kuhairisha mwaka
Hivi majuzi kuna mtu akaniambia kwanini nisiende kusoma diploma ya clinical officer. Ila tu sijui kama hili wazo linafaa kwa sasa
Tafadhali naomba tusaidiane hapa. Je bado nafasi za diploma noiyoitaja hapo juu zipo?
Na ni chuo gani ndo kizuri?
Na kama unaushauri mwingine usisite kunishirikisha
Asanteni