yaasir suleyman moursad
New Member
- Jan 19, 2017
- 4
- 0
.
RaumHabari wadau
Mi nnahitaji ushauri wa kipi cha kufanya sababu nimeamua kununua usafiri, sasa Kati ya haya magari SIENTA Na RAUM Ni ipi bora zaidi?
Thanks broMkuu chukua sienta,inasiti nying ndani,mafuta zote zinakunywa sawa na hata uimara pia bado zinafanana.