Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Mkuu apo amna mwanamke you have to move on namaisha yako japo naona ningumu ilait is the only wayout,najua ingekua rahisi ungeshafanya maamuzi ila jitahid uachane nae ata kwakuingia kwenye mahusiano mapya fasta
 
Yote hayo aliyokufanyia bado upo tu? Kakamgeni unamoyo mgumu wallah tena..hivi wanaume wa namna yako kumbe bado wapo!! Akili kumkichwa mkuu
 
Na hapo usikute alipokuwa dar alikuwa na msichana mwenye heshima zake kaingia mji wa watu kichwa kichwa na kuopoa mwanamke club muulizeni umri wake usikute yuko under 25 mana wanaume wanachelewa kukomaa akili sana
 
Ni kweli

Naona ametawaliwa na akili za kivulana zaidi
 
Wanaume wa dar bwana Sasa hii ndo ishu ya kuomba ushauri
 
Yan mijitu mingine daaaaaah
 
Na pale villa park kuna wanawake wazuri utadhani wameshuhwa na mtume
 
Una umri gani ?? Tuanzie hapo kwanza.inaonyesha mapenzi au wanawake umewajua juzi
 
Yote hayo aliyokufanyia bado upo tu? Kakamgeni unamoyo mgumu wallah tena..hivi wanaume wa namna yako kumbe bado wapo!! Akili kumkichwa mkuu
Asante kwa ushauri
 
Mkuu apo amna mwanamke you have to move on namaisha yako japo naona ningumu ilait is the only wayout,najua ingekua rahisi ungeshafanya maamuzi ila jitahid uachane nae ata kwakuingia kwenye mahusiano mapya fasta
Thanks bro
 
Na hapo usikute alipokuwa dar alikuwa na msichana mwenye heshima zake kaingia mji wa watu kichwa kichwa na kuopoa mwanamke club muulizeni umri wake usikute yuko under 25 mana wanaume wanachelewa kukomaa akili sana
Hapana nina 27yrs
 
Una umri gani ?? Tuanzie hapo kwanza.inaonyesha mapenzi au wanawake umewajua juzi
Hapana, mahusiano nimeanza tangu nikiwa na miaka16, kwa sasa nina 27yrs , yy ana 24.

Sema katika kipindi chote cha historia ya mahusiano yangu, haijawahi kuvuka miezi 6 na mwanamke.

Wa kwanza tulipendana sana tukaa miezi 4, mwanamke wa pili niliyekaa nae kwny mahusiano ilikuwa miezi5 na uyu ni miezi 6 sasa.

Ukiacha yale mahusiano mengi ya muda mfupi.
 
Mkuu apo amna mwanamke you have to move on namaisha yako japo naona ningumu ilait is the only wayout,najua ingekua rahisi ungeshafanya maamuzi ila jitahid uachane nae ata kwakuingia kwenye mahusiano mapya fasta
Nimeipenda avatar yako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…