Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Aisee mkuu una moyo wa aina ya kipekee hapo bado unaomba ushauri wa nn tena huyo ni changu lala mbele
 
Umesha tengenezwa hapo
Nakataa kama nimetengenezwa kwa sababu kuna ahadi sijamtimizia na hela sio kama sina, sasa kama angekuwa amenitengeneza ningemtimizia, hicho ndicho kinachonipa nguvu ya kukataa kama amenichezea
 
Sikio la kufa halisikii dawa, sehemu ulipokutana naye ndio alikozoea kwa hiyo kutomruhusu asitoke ingekua ndoto
 
Ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi kumi akili ikirudie!! Acha upumbavu tena naongea Kwa maneno makali acha upumbavu! Mwanamke anatiwa na vidume na wewe unajua na yeye anajua tena mbele yako unakuja kuomba ushauri? Acha ujinga . Halafu unakutana na malaya unaachana nae unaenda kuchukua malaya wengine wa nne tena mbele,! Upumbavu kabisa huo! Huyo sio mwanamke wa kuoa na Wala wewe sio mwanaume wa kuoa mwanamke yeyote yote hadi utakapoyarudia mafundisho ya mama yako na baba yako juu kuwa Mume Bora! Muache Mara moja ukiendelea hivyo tutakuzika mwaka huu huu wakati bado tunakuhitaji
 
Ukishaona mwanaume unafikia hata ya ku share MALAYA basi hafai. Mwanaume anayeniheshimu na BUSARA anakua makini katika mahusiano. Endelea kuwa mshikapembe pembe wanaume wanaume wakamue. Thread inakuaibisha hii.
 
Ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi kumi akili ikirudie!! Acha upumbavu tena naongea Kwa maneno makali acha upumbavu! Mwanamke anatiwa na vidume na wewe unajua na yeye anajua tena mbele yako unakuja kuomba ushauri? Acha ujinga . Halafu unakutana na malaya unaachana nae unaenda kuchukua malaya wengine wa nne tena mbele,! Upumbavu kabisa huo! Huyo sio mwanamke wa kuoa na Wala wewe sio mwanaume wa kuoa mwanamke yeyote yote hadi utakapoyarudia mafundisho ya mama yako na baba yako juu kuwa Mume Bora! Muache Mara moja ukiendelea hivyo tutakuzika mwaka huu huu wakati bado tunakuhitaji
Kwanza nabatilisha roho ya umauti unayoitaja, kingine nimekuwa muwazi ili niweze kusaidia, huenda kuna watu wakawa wamepitia wakati mgumu kama wangu
 
Chapa Mwendo. Mikuki kama hii ishanitokea ila sio kama wewe unao ilea, kwangu ni kuchapa Mwendo tu. Nilikuwa zero kipindi hicho wakati nasubiri visa yangu ambayo sikutaka kushirikishana na mtu yoyote, maana ilikuwa undefined bado. Ila ilipo tick nikasepa kimya kimya. Baadae kugungua akaanza yake ya kupet. Nili block kila sehemu, now I fill relaxing from dangaz
 
Kwanza nabatilisha roho ya umauti unayoitaja, kingine nimekuwa muwazi ili niweze kusaidia, huenda kuna watu wakawa wamepitia wakati mgumu kama wangu
Hujioni unafuatwa na roho ya mauti mpendwa,umesahau methali ,7 kuhusu mausia ya kumuepuka malaya! Nilijokutahadharisha na nimeongea Kwa ukali ni kukuona upo njia panda Kwa mtu unayejua ni kahaba tena bado huna maamuzi.
 
Nakataa kama nimetengenezwa kwa sababu kuna ahadi sijamtimizia na hela sio kama sina, sasa kama angekuwa amenitengeneza ningemtimizia, hicho ndicho kinachonipa nguvu ya kukataa kama amenichezea
Basi huna akili timamu
 
Mleta thread ni Msukuma alievamia genge. So many fish in the pond.
 
Mkuu pole sana,ila hapo hakuna mwanamke mkuu,try to move on mzee,atakusumbua huyo
Siyo mwanamke tu,hata yeye hafai.
Vipi unachukua marafiki zake tena wanne !!
Wote ni malaya kwa hiyo ukimuoa huyo malaya mwenzako ni sawa tu,ila mjichunge sana na afya zenu na muogopeni Mungu
 
alama zote umeona mkono wa damu bado umekomaa tuuu.. huyu ndo unataka awe mke? ushauri wowote utakaotoka humu wa kuvumilia utakuwa fake.. swala ni PIGA CHINI utakufa maskini na magonjwa juu labda kama na ww ni player
 
Nahisi dawa sio bure huyu Mwanamke, nimemfata kwake tumeombana msamaha, amenieleza sababu za kufanya yote. Ameniahidi atabadilika. Navyoandika sasa tupo wote. Moyo wangu nahisi una amani. Hakika hii sio bure

Kwahiyo huyu mwanamke bado upo naye?

Hebu tupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom