Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Kaka mgeni....
Kaza moyo....
Kuna mawili......
Moja...pengine Ana kitu kichwani kinamvuruga...kinamsumbua....
Kitafute ukijue...au jiangalie wewe pia huchangii yeye kuwa hivyo japo pasipo kujua?
La pili...kama una hakika hana tatizo ni tabia tu basi ..huyo humuwezi ni mpaka aamue mwenyewe kutulia!
Sasa amua kumsubiri abadilike au ku move....
 
Kweli kabisa Bro, nimefail wala Hakuna ubishi, ndio maan nimekuja kwenu mnisaidie kimawazo
kama hautotusikia ngoja azitakatishe pesa zako kwanza "" atakufilisi huyo mpka ubaki na nguo 2 tu "" kisha atakuachia manyoya
 
kwanza itakuwaje ujiweze Kiuchumi halafu mwanamke akusumbue akili "" huo niujinga aiseee"" Sera zetu za kiume hzipo ivyo unatuangusha""
kama unakipato "" wewe ndiye unapaswa kuliliwa na mwanamke aisee
 
Mapenzi ni kama mtego wa panya, huwanasa panya wenye hatia na wasio na hatia pia, Lakini panya pamoja na udogo wao kiumbo huwa pia ni werevu sana, akikoswa na mtego kwa bahati yoyote ile iwe nzuri au mbaya hakuna namna mtego ule ule utakuja mnasa tena ukiwa sehemu ileile. Kwa maneno rahisi Panya wanajua "kuhamisha" njia zao haraka sana wanapotambua uwepo wa mtego katika njia waliyozoea..

Kuwa panya kwa muda mkuu "mtego" umekukosa huo, hama "njia" hiyo kama bado unayapenda maisha yako, tafuta njia nyingine itayokufisha unakotaka kwenda bila kuwa na hatari ya kunaswa na mtego "uleule" uliokukosa kwa bahati yoyote ile iwe mbaya au nzuri..
 
B.W.E.G.E dot com.

Usipotumia kichwa chako vizuri, utaishia pabaya!
 
Pole kwa kupenda usipopendwa. That's life, ila kukubali kuishi na kahaba yataka Moyo wa chuma
 
Asante kwa ushauri
 
Asante kwa ushauri Mkuu
 
Asante
 
Wanawke wengi tena wenye tabia nzuri achana nae tu
Kazoea ukahaba hawezi badilika mzee kaka
 
Vumilia kidogo.... Bado siku chache upate unacho taka (vvu ) kuwa mvumilivu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…