Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,476
- Thread starter
- #21
Mbu asante kwa ushauri wako mzuri,umeanza kwa kunisihi nisimuondoe kwangu sawa lakini je ntatakiwa kumsapport kwa muda gani ni mpaka ajifungue au ni sasa kwa kumpa ushauri akahangaike na dunia ,na wasiwasi wangu ni huu je nyuma ya pazia akabadili mawazo akaenda kuitoa hiyo mimba itakuaje na akapata matatizo .
Vile vile, mwambie ukweli athari gani za kimaisha unaona zitamkabili iwapo ataamua kuzaa. Huko ni kumtayarisha kiakili, ili ataapoamua kuzaa, au kuitoa...asijemlaumu yeyote.
Vile vile, mwambie ukweli athari gani za kimaisha unaona zitamkabili iwapo ataamua kuzaa. Huko ni kumtayarisha kiakili, ili ataapoamua kuzaa, au kuitoa...asijemlaumu yeyote.