Nahitaji ushauri please kabla ya kufanya maamuzi

Mbu asante kwa ushauri wako mzuri,umeanza kwa kunisihi nisimuondoe kwangu sawa lakini je ntatakiwa kumsapport kwa muda gani ni mpaka ajifungue au ni sasa kwa kumpa ushauri akahangaike na dunia ,na wasiwasi wangu ni huu je nyuma ya pazia akabadili mawazo akaenda kuitoa hiyo mimba itakuaje na akapata matatizo .

Vile vile, mwambie ukweli athari gani za kimaisha unaona zitamkabili iwapo ataamua kuzaa. Huko ni kumtayarisha kiakili, ili ataapoamua kuzaa, au kuitoa...asijemlaumu yeyote.
 
yani dada ,hata sielewi wakati mwingine unaweza hata kupata mawazo mabaya unamsaidia kwa maisha yake yeye anakwenda kufanya mambo ya ajabu halafu kibaya katika vyote na dhehebu alihama akaenda kusali kanisa jingine ananiambia ameokoka mwe!

Chauro, naunga mkono wazo la wewe kujibebesha jukumu la Mzazi-Mlezi, mtafute (kwa wema tu) huyo kijana aliyempa ujauzito. Ikiwezekana wape nasaha wote wawili walibebe jukumu lao kwa ahadi huko mbele ya safari waje kuoana na kulea mtoto wao.

Naamini kwasasa huyo kijana atakuwa kwenye kipindi kigumu cha kufikiria nini hatma ya maisha yake pia. Wewe mtu mzima, mshirikishe mumeo au mtu mzima mwenzako myasawazishe mambo haya. Mw'Mungu atawafungulia busara katika hili.

Mimi Binafsi sikubaliani kabisa na kutoa mimba. Mimba itatolewa iwapo tu zitaonekana athari za uhakika (Irreversible 'Major' Deformity) kwa kiumbe aliyepo tumbani, athari ambazo hata kiumbe kikizaliwa, kitakuwa mzigo kwa wazazi wake.
 
Mkuu umesema nilichokuwa nawaza
 
asante sana kwakweli maana nilipoambiwa nilibaki tu naona nimfukuze hapana, nikae nae hapana,sasa napata mwanga wa nini cha kufanya mbarikiwe.

Chauro, naunga mkono wazo la wewe kujibebesha jukumu la Mzazi-Mlezi, mtafute (kwa wema tu) huyo kijana aliyempa ujauzito. Ikiwezekana wape nasaha wote wawili walibebe jukumu lao kwa ahadi huko mbele ya safari waje kuoana na kulea mtoto wao.

Naamini kwasasa huyo kijana atakuwa kwenye kipindi kigumu cha kufikiria nini hatma ya maisha yake pia. Wewe mtu mzima, mshirikishe mumeo au mtu mzima mwenzako myasawazishe mambo haya. Mw'Mungu atawafungulia busara katika hili.

Mimi Binafsi sikubaliani kabisa na kutoa mimba. Mimba itatolewa iwapo tu zitaonekana athari za uhakika (Irreversible 'Major' Deformity) kwa kiumbe aliyepo tumbani, athari ambazo hata kiumbe kikizaliwa, kitakuwa mzigo kwa wazazi wake.
 
Mbu asante kwa ushauri wako mzuri,umeanza kwa kunisihi nisimuondoe kwangu sawa lakini je ntatakiwa kumsapport kwa muda gani ni mpaka ajifungue au ni sasa kwa kumpa ushauri akahangaike na dunia ,na wasiwasi wangu ni huu je nyuma ya pazia akabadili mawazo akaenda kuitoa hiyo mimba itakuaje na akapata matatizo .

...Hapana Chauro, awali niliandika, kumuondoa kwako maana yake Umemfukuza kazi kwa 'kosa' la ujauzito.
Kumbuka, huyu binti ameshakaa kwako miaka mitatu. Bahati nzuri, au mbaya, Ajira za hawa wasichana wa kazi
ni huruma tu za mwajiri zinazoweza kumfanya aendeelee na kibarua chake au la.

Nimezungumzia usimuondoe kwa maana, kwao mama yake keshasema autoe huo ujauzito.
Ndio maana katika Post iliyofuatia nimekubaliana na wale walioshauri mtafute huyo kijana ili
Upate muafaka upande wa pili wa 'skendeli' hili. Jivike jukumu la Mzazi-Mlezi.
Anzia hapo kwanza. Kuwa mshenga wa hili.

Hilo suala la kwenda kutoa mimba uchochoroni kisha aathirike, kwa sasa ondoa wazo hilo.
Hilo litawezekana tu iwapo nawe hautakuwa na busara ya kuongea nae ukweli haraka iwezekanavyo
athari ya mambo haya wikiendi hii.
 
asante sana mbu kwa ushauri nasali nipate hekima na busara ya kuliweka sawa hili jambo.

...Hapana Chauro, awali niliandika, kumuondoa kwako maana yake Umemfukuza kazi kwa 'kosa' la ujauzito.
Kumbuka, huyu binti ameshakaa kwako miaka mitatu. Bahati nzuri, au mbaya, Ajira za hawa wasichana wa kazi
ni huruma tu za mwajiri zinazoweza kumfanya aendeelee na kibarua chake au la.

Nimezungumzia usimuondoe kwa maana, kwao mama yake keshasema autoe huo ujauzito.
Ndio maana katika Post iliyofuatia nimekubaliana na wale walioshauri mtafute huyo kijana ili
Upate muafaka upande wa pili wa 'skendeli' hili. Jivike jukumu la Mzazi-Mlezi.
Anzia hapo kwanza. Kuwa mshenga wa hili.

Hilo suala la kwenda kutoa mimba uchochoroni kisha aathirike, kwa sasa ondoa wazo hilo.
Hilo litawezekana tu iwapo nawe hautakuwa na busara ya kuongea nae ukweli haraka iwezekanavyo
athari ya mambo haya wikiendi hii.
 
Endelea kumsaidia, ajifungue salama alee mtoto wake na siku moja atakuja kujutia. Usisahau kumpa ushauri nasaha.
 
NDIO UTU UZIMA CHAURO!!
-nakushauri uongee nae mimba asiitoe maana hiki ni kipindi kigumu sana kwake na kwako pia
-NAKUOMBA ujitahidi uujue ukweli kuhusu hiyo mimba na ni ya nani
-Huyo mdogo wako ajaribu kuongea nae kwa ukaribu pia ili ajue nia yake ya dhati kuhusu hiyo mimba na kama kweli amegundua alifanya makosa!!

TAHADHARI
*****mschana wa aunt yangu aliwahi kuwa na situation (ujauzito) kama wako lakini wakati WAKATI ANAPATA MIMBA ALKUA NDIO ANAMALIZA CHUO TEACHING ambapo aunt alimsomesha tangu form one hadi four

.**ikabidi amwambie uncle wakakubaliana kumlea maana kwao walimfukuza........wakamhamishia servant konta na kumwekea msaidizi mtoto akazaliwa akalelewa ajira ikaja akamhamishia kwake baada ya miaka 6 akawa na mimba ya pili kabla ya kujifungua aunt akagundua ni ya mume wake (uncle) na pia yule mtoto wa kwanza ni wa mumewe.........matokeo yake aunt akapata stroke!!!!!
 
Aisee Mama D nimechoka kabisa haya maisha haya:disapointed::disapointed::disapointed:
 
the finest huo ni ukweli na huyo mwanamke yupo hadi leo na uncle amejengewa kwake na kufunguliwa biashara BILA HAYA anamwambia aunt ni zamu yake kutesa!!

worse enough aunt alimpenda kama mdogo wake hata yeye ana admit lakin kweli hii dunia iacheni tu
 
yeuwii mama D umebadili na mawazo yangu...................ivi inawezekana kweli usilolijua ni usiku wa kiza.itabidi huruma yangu iwe na umakini mkubwa.

NDIO UTU UZIMA CHAURO!!
-nakushauri uongee nae mimba asiitoe maana hiki ni kipindi kigumu sana kwake na kwako pia
-NAKUOMBA ujitahidi uujue ukweli kuhusu hiyo mimba na ni ya nani
-Huyo mdogo wako ajaribu kuongea nae kwa ukaribu pia ili ajue nia yake ya dhati kuhusu hiyo mimba na kama kweli amegundua alifanya makosa!!

TAHADHARI
*****mschana wa aunt yangu aliwahi kuwa na situation (ujauzito) kama wako lakini wakati WAKATI ANAPATA MIMBA ALKUA NDIO ANAMALIZA CHUO TEACHING ambapo aunt alimsomesha tangu form one hadi four

.**ikabidi amwambie uncle wakakubaliana kumlea maana kwao walimfukuza........wakamhamishia servant konta na kumwekea msaidizi mtoto akazaliwa akalelewa ajira ikaja akamhamishia kwake baada ya miaka 6 akawa na mimba ya pili kabla ya kujifungua aunt akagundua ni ya mume wake (uncle) na pia yule mtoto wa kwanza ni wa mumewe.........matokeo yake aunt akapata stroke!!!!!
 
the finest huo ni ukweli na huyo mwanamke yupo hadi leo na uncle amejengewa kwake na kufunguliwa biashara BILA HAYA anamwambia aunt ni zamu yake kutesa!!

worse enough aunt alimpenda kama mdogo wake hata yeye ana admit lakin kweli hii dunia iacheni tu
Duh!!! I rest my case wanasema 1+1=2 lakini saa zingine 1+1=1 kuna visa na mikasa na viroja na kioja sina cha kusema
 
moyo wangu umepiga hatua mia nyuma kweli huwa wema wakati mwingine unatuponza.

the finest huo ni ukweli na huyo mwanamke yupo hadi leo na uncle amejengewa kwake na kufunguliwa biashara BILA HAYA anamwambia aunt ni zamu yake kutesa!!

worse enough aunt alimpenda kama mdogo wake hata yeye ana admit lakin kweli hii dunia iacheni tu
 
Jambo la msingi jaribu pia kuwasiliana na familia ya huyo kijana aliyempa mimba thou inawezekana hauifahamu lakini since huyu kijana anasoma pamoja na huyu binti basi inakuwa rahisi kupajua kwao pamoja na ku-dodge kwa huyu kijana. Ni vizuri ukiendelea kukaa na huyo binti ukimsaidia huku ukiendelea kufanya mawasiliano na upande wa pili.

Kitu kingine kilichonishangaza ni jinsi huyo mama yake alivyomwambia kuwa aitoe hiyo mimba

Ya kweli haya?...Sioni kuna ukweli kwenye hili la mama kumshauri kutoa mimba. Chunguza zaidi utabaini kilichojificha ndani ya usemi huu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom