The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,879
- 53,959
Hakuna ushauri wowote hapo,subiri ukisha kua kua ukawa na majukumu,hilo tatizo litaondoka lenyewe tu.
Kama ni dogo mbona umekuja kuomba ushauri huku?Naona kwa hili sipaswi kumsumbua Mungu ni dogo Sana , ni Sawa na kesi ya kudokoa andazi imfikie Rais wa nchi wacha niisugue akili na binadamu wenzangu watakaonipa mawazo
Sawa ngoja nisubilie 2045Hakuna ushauri wowote hapo,subiri ukisha kua kua ukawa na majukumu,hilo tatizo litaondoka lenyewe tu.
Tutake radhi tafadhali ...Tatizo huo mkoa wanaume mnadeka sana....
Mwamba inaonekana vibunda vimejaa . SaluteHamna mnachoogopa zaid ya makato tu..
Hilo ni jina la dawa ya kienyeji ?makatophobia
Yaliyo peupe ni ya wanadamu ( yakimazingira ) yaliyo sirini ni ya Mungu , yapo mambo tuanatakiwa tutumie akili zetu za kibinadamu ambazo Mungu ametupa , tusisingizie maombiKama ni dogo mbona umekuja kuomba ushauri huku?
Bila shake umeajiriwa,tatizo la kuwepo kwenye ajira ni kupata muda wa kutafuta kipato cha ziada nje ya kazi,pamoja na hivyo unaweza kufanya baadhi ya mambo kupunguza gharama za maisha na kukuingizia kipato japo kidogo,bila huhitaji uwepo wako.Waweza Lima bustsni kuzunguka nyumba yako,hata bustani bandia za magunia.Fuga kuku tumia ujenzi wa kupanda juu ,mfano wa kighorofa,cha kuchagua nini cha kufanya,ama nani atamionaje .Ishi maisha yako achana na maisha ya maigizo.Fedha lazima ije😁Nipe mchongo wewe umezipataje
Sawa nimeusoma ushauri akhasanteBila shake umeajiriwa,tatizo la kuwepo kwenye ajira ni kupata muda wa kutafuta kipato cha ziada nje ya kazi,pamoja na hivyo unaweza kufanya baadhi ya mambo kupunguza gharama za maisha na kukuingizia kipato japo kidogo,bila huhitaji uwepo wako.Waweza Lima bustsni kuzunguka nyumba yako,hata bustani bandia za magunia.Fuga kuku tumia ujenzi wa kupanda juu ,mfano wa kighorofa,cha kuchagua nini cha kufanya,ama nani atamionaje .Ishi maisha yako achana na maisha ya maigizo.Fedha lazima ije
Mkuu au umekosea ku type embu hakiki ulichokiandikaMm naogopaga kuangalia bando la Internet
Sawa nitajitahidiUwe unajikaza mkuu
Wacha weeeeMimi ninautaratibu wakuangalia akauntiyangu Kila wiki mana kilasiku lazima niweke milioni 3.
Paah !! Unaona frequency za EFM radio
89.9Paah !! Unaona frequency za EFM radio
same hereI need a psychologist huwa siwezi kuangalia Bank balance yangu nachota tu mpk ziishe. Muoga kweli