Nahitaji ushauri na mawazo nina uoga wakuangalia balance yangu ya hela benki

Nipe mchongo wewe umezipataje
Bila shake umeajiriwa,tatizo la kuwepo kwenye ajira ni kupata muda wa kutafuta kipato cha ziada nje ya kazi,pamoja na hivyo unaweza kufanya baadhi ya mambo kupunguza gharama za maisha na kukuingizia kipato japo kidogo,bila huhitaji uwepo wako.Waweza Lima bustsni kuzunguka nyumba yako,hata bustani bandia za magunia.Fuga kuku tumia ujenzi wa kupanda juu ,mfano wa kighorofa,cha kuchagua nini cha kufanya,ama nani atamionaje .Ishi maisha yako achana na maisha ya maigizo.Fedha lazima ije😁
 
Bila shake umeajiriwa,tatizo la kuwepo kwenye ajira ni kupata muda wa kutafuta kipato cha ziada nje ya kazi,pamoja na hivyo unaweza kufanya baadhi ya mambo kupunguza gharama za maisha na kukuingizia kipato japo kidogo,bila huhitaji uwepo wako.Waweza Lima bustsni kuzunguka nyumba yako,hata bustani bandia za magunia.Fuga kuku tumia ujenzi wa kupanda juu ,mfano wa kighorofa,cha kuchagua nini cha kufanya,ama nani atamionaje .Ishi maisha yako achana na maisha ya maigizo.Fedha lazima ije
Sawa nimeusoma ushauri akhasante
 
Back
Top Bottom