Nahitaji ushauri kutoka kwenu wananzengo

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,298
Reaction score
14,587
Habari za mwaka mpya wakuu I hope wote mpo njema na Kama Kuna mtu amepatwa na mitihani Basi mwenyezimungu ampe wepesi.

Twende kweny maada moja kwa moja wakuu Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi siyo mjuzi na Sina ujuzi wa IT Ila nimevuitiwa Sana na tecknolojia nikaamua Kwenda kununua laptop ili nijifunze Mambo ya IT taratibu.

Nikiwa bado natafakari Nini chakujifunza nikapata wazo Kwanza nije nilete humu mnishauri wananzengo kwa biginer Kama Mimi kipi nijifunze.

Na siyo mbaya Kama nitapata mtu wakuniunganisha groups za wasap au platforms mbali mbali ili niweze kupata elimu hiyo ahsante

Nawasilisha[emoji120]

20211230_194327.jpg
 
Wazo zuri nakushauri nenda kwanza kapate short course ya computer application upate ufunuo kwanza
 
Habari za mwaka mpya wakuu I hope wote mpo njema na Kama Kuna mtu amepatwa na mitihani Basi mwenyezimungu ampe wepesi.

Twende kweny maada moja kwa moja wakuu Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi siyo mjuzi na Sina ujuzi wa IT Ila nimevuitiwa Sana na tecknolojia nikaamua Kwenda kununua laptop ili nijifunze Mambo ya IT taratibu.

Nikiwa bado natafakari Nini chakujifunza nikapata wazo Kwanza nije nilete humu mnishauri wananzengo kwa biginer Kama Mimi kipi nijifunze.

Na siyo mbaya Kama nitapata mtu wakuniunganisha groups za wasap au platforms mbali mbali ili niweze kupata elimu hiyo ahsante

Nawasilisha[emoji120]

View attachment 2066508
wazo zur sana
 
Back
Top Bottom