Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

Mwanangu Miaka yote hiyo unashindwa nini sasa??
 
Pole. mpende akupendae asiekupenda achana nae Bob
 
kaka embu funguka huyo anakuchukulia kama rafiki tuu achana nae ipo siku atakuja na mastress yake akija mto$&@" usirembe, ila kwa kuwa wife hapo futa, utasubiri sana... nishakutana na story kama zako, atakucheleweshea mambo yako ya msingi mfute kbsa kichwani na hata ukiongea nae muoneshe tuu kama ye wa kawaida tu
 
We wa ajabu...unajaribukumpata kwa kumchafua mwenzio...wanaume hatufanyagi hivo....we ulikuwa mzembe tu kumuambia ....na hata kama unajua ana mtu we ingia kivyako bila huyo mtu kumtaja

dah ni kweli mkuu ila ulimi hauna mfupa kwa umpendao ukiona anadanganywa, ujinga ni nilidhani nikimwonesha ataachana na huyo bwege
 
Hamna kitu kibaya na kigumu kama mwanamke kutokukuelewa. Utamaliza ushauri hadi wa mapdrii ila mwanamke kama hakupendi hakupendi..

Usikate tamaa eeh.
 
jaribu kutafuta udhaif wake ndipo utampata kirahs kwan kila binadam ana udhaif wake ktk kuwa na mahusiano.... chunguza aliwapendea nini hao walopita nawe umekosa nini ambacho wao walikuwa navyo nawe huna. Pesa si kitu ktk mapenzi ila mshawishi kwa udhaif wake na kuwa mvumilivu ipo siku atajua yup ni mkwel kwake..
 
kaka embu funguka huyo anakuchukulia kama rafiki tuu achana nae ipo siku atakuja na mastress yake akija mto$&@" usirembe, ila kwa kuwa wife hapo futa, utasubiri sana... nishakutana na story kama zako, atakucheleweshea mambo yako ya msingi mfute kbsa kichwani na hata ukiongea nae muoneshe tuu kama ye wa kawaida tu

Kweri kabisa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom