Naomba kuuliza ivi sipati W-Fi ambayo ni unlimited kwa wastani wakama 30,000 kwa mwezi..?
kama ipo bas naomba msaada wa namna yakuipata maana hizi za 70,000 kwamwezi siziwezi
hata ikiwa ni 50,000 kwamwezi sio mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.