Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 627
- 1,153
Samahani Wana jamvi, Kama kuna mtu anatumia au ameishawahi kutuMia Tv Aina ya BOSS naomba anipe experience yake kuhusu hii brand, nataka niinunue, nilipita sehemu ilikuwa inaonesha nilivutiwa sana na picha ilivyokuwa inaonekana na Pia inatumia Android Kama OS.