Nahitaji ufafanuzi wenu

ADAM MILLINGA

Senior Member
Apr 27, 2011
117
0
Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu je sheria inasemaje kwa hili
 

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,580
2,000
Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu je sheria inasemaje kwa hili

Mkuu ADAM MILLINGA, ndugu yako ametenda kosa kwa mujibu wa sheria ya The Gaming Act, Cap 41 as Revised in 2002, ambayo inaelezea kuwa ni kosa kufanya udanganyifu or kujipatia Pesa kwa Njia udanganyifu katika michezo ya kamali or sport betting as it stipulates


SECTION 78 OF THE GAMING ACT, CAP 41 (CHEATING AT LAWFULL GAMING OR BY WAGERING ON ANY EVENT)

Section 78 of the gaming Act, cap 41 provides that, A person who, by any fraud or unlawful device or ill-practice in playing at or with an instrument of gaming, or in taking a part in the stakes or wagers, or in betting on the sides or
hands of those that are playing, or in wagering on the event of a game, sport, pastime or exercise, wins from another person for himself, or for or on behalf of another person, a sum of money or valuable thing shall be guilty of an offence and liable to a fine not exceeding five hundred thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding six months or to both.

Hivyo basi ametenda kosa kwa mujibu wa sheria hiyo na akikutwa na hatia anaweza kufungwa miezi sita or faini isiyozidi shilling laki tano au vyote kwa pamoja.

HATIMA YA MAMA( MDHAMINI WA NDUGU YAKO)

Inaniwea vigumu kuelezea hatima ya mama, kwa kuwa kabla ya kuwa mdhamini, kuna documents ambazo una sign, na hizo document zina masharti ambayo pande husika zimeridhia na kukubali kutekeleza. labda ungetueleza mama aliji commit kufanya nini in any case of default.

Ila kwa ninavyofahamu mimi, Surety(mdhamini or Guarantor) anawajibika kwa hasara anayosababisha mdhaminiwa na huenda mama akatakiwa kulipa hiyo pesa. kwa utaratibu wa kawaida, mdhamini anatakiwa asaini kitu kinaitwa Guarantee and Indemnity memorandum. humo kuna masharti na vigezo ambavyo pande zote zilikubariana.

IMPORTANT:

Jinai ni kitu kibaya sana
kwa maisha ya leo. kunaweza kubadilisha maisha yako yakawa magumu milele. Mushauri mama akamwone mwanasheria yeyote aliyeko karibu yake kwa ushauri zaidi.

Wasalaam
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom