Nahitaji tractor(Massey Ferguson), wanaojua bei zake brand new vs used

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Wakuu baada ya utafiti kidogo, nimeamua kuwa na chombo cha kilimo na wengi wamenishauri nichukue Massey F. sababu wanasema spare zake zipo nyingi kuliko hata Ford kwa Tanzania.

Ila sijui bei zake vs HP, wanao jua kama hamtajali kutoa details zake.

20200813_095051.jpeg
 
Huwezi kupata mpya kutokea England kwa sasa ambazo ndo bora zaidi. Kama shamba lipo mkoa wa morogoro chukua new holland hp kuanzia 75 milioni 42 hadi 43. New holland nazo ni nzuri na spare ni nyingi tu, hata ukipata fiat used maana kupata mpya ni ishu kinoma nazo zipo njema na spare kibao mjini
 
Thanks mkuu, hizo fiat si wanasema spare admu kama ford..

Ushauri wako nimeuchukua
Huwezi kupata mpya kutokea England kwa sasa ambazo ndo bora zaidi. Kama shamba lipo mkoa wa morogoro chukua new holland hp kuanzia 75 milioni 42 hadi 43. New holland nazo ni nzuri na spare ni nyingi tu, hata ukipata fiat used maana kupata mpya ni ishu kinoma nazo zipo njema na spare kibao mjini
 
Achana na massey. Hydraulic system ikizingua ndo basi hakuna ujanja. Hizo za Pakistani ndo tabu sana kwenye ishu ya spare. Spare zake si quality nzuri kabisa. Nunua New Holland hata ya TT75 utafirahia
 
Back
Top Bottom