wakuu, nimepata vi-diem vya christmas milioni saba, nahitaji toyota cami kwa yeyote anayeuza, iwe kwenye hali nzuri tuu, naihitaji haraka pesa isije ikapata mahitaji mengine, mwenye nayo anicheki , cash hapohapo nikipenda gari, mawasiliano ni 0654-633109