Nahitaji SUZUKI CARRY bajeti milioni 5na nusu.

Nahitaji SUZUKI CARRY bajeti milioni 5na nusu.

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
wadau nahitaji hiyo usafiri kwa garama hiyo nakaribisha mapendekezo. nipo morogoro manispaa
 
mpya kwa mn 6.5 ??!! wabongo hamjui hata gari mpya inafananaje

Ni kweli mkuu, hapa kwetu used ndo mpya na ndo tuna uwezo nazo,,anayenunua za 'zero' km ni serikali na baadhi ya mashirika tu kama Swissport
 
Back
Top Bottom