Nahitaji supplier wa EFD Rollers paper

Nahitaji supplier wa EFD Rollers paper

Abramovic

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
324
Reaction score
610
Habari ya asubuhi wakuu?
Nahitaji supplier anaeweza kuniuzia roller kubwa za machine za EFD za kwenye vituo vya mafuta. Awe na uwezo wa kuni supply zaidi ya PCs 1,000 kwa mwezi. Tafadhari kama unamjua yoyote naomba msaada wako hapa. Natanguliza shukrani zangu.
 
Mkoa wowote au
 
Back
Top Bottom