sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,429
Mkuu kujua ni watt ngapi unahitaji na kuwasha nini inategemea vyombo vyako ni watt ngapi (kwa kawaida vitu vinavyo-heat vinatumia umeme sana mfano (jiko, heater, pasi n.k.) wakati vitu kama feni, tv, fridge na taa za energy saver ni umeme kidogo sana...hiyo ya watt 180 uliyochukua yaweza kurun vitu gani!kwa matumizi ya nyumbani (jiko friji taa heater) inatosha?
ukishaangalia hizo watt jumlisha zote upate ni watt ngapi, kwahio matumizi yatategemea hizo watts na masaa mangapi hizo panel zinapata direct sunlight