Nahitaji Software maalumu kwa kufanya tracking kwa kutumia namba ya simu

app hizo zipo ila hazipo google wala playstore , tracker za namna hiyo zimetengenezwa special kwa ajili ya masuala ya kiusalama na namna yakukamata wahalifu kiurahisi so vifaa hivyo wanavyo wanausalama tu
 
Back
Top Bottom