Nahitaji Software maalumu kwa kufanya tracking kwa kutumia namba ya simu

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
697
1,000
Habarini za jioni wana jamii forums wenzangu.

Kama kichwa kinavyo jieleza nahitaji kujua iyo software ambayo itanisaidia kujua location ya mhusika kwa kutumia namba yake ya simu hata pengine IMEI no. for anycost just mention them!

Nimeuliza hivi najua wataalamu wapo wanaozitumia,naombeni mnifahamishe nami pia.
Natanguliza shukrani kwenu.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,988
2,000
Offer yako ni kiasi gani? Waweza sema above 10 M au 20M au vyovyote vile
 
7ve

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,058
2,000
Software mbona zipo nyingi sana ila ni mpaka uweke mwenyewe kwenye simu husika ila Kama huwezi we Nenda tcra tu ukaombe mawasiliano yake we nenda na namba yake ya simu tu.
 
de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
697
1,000
Software mbona zipo nyingi sana ila ni mpaka uweke mwenyewe kwenye simu husika ila Kama huwezi we Nenda tcra tu ukaombe mawasiliano yake we nenda na namba yake ya simu tu.
Shukrani mkuu
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,944
2,000
Mapenz mabaya mapenz mabaya

Yaan wakat wengne tunaumiza vichwa tuongeze investments nyingne zaid

Wengne wanafatilia mapenz
 
de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
697
1,000
Mapenz mabaya mapenz mabaya

Yaan wakat wengne tunaumiza vichwa tuongeze investments nyingne zaid

Wengne wanafatilia mapenz
Mkuu si kila unachokiona na kukiskia ukatoa conclusion ,hii si kwa ajiri ya personal interest,is for my organization interest!
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Hakuna mtu mtu yoyote mwenye access na IMEI/Phone number + location za watu isipokua:

1. Network Providers ambao kisheria hawawezi kutoa hzo data kwa mtu yoyote isipokua chombo husika cha mawasiliano (TCRA). Na hata network providers hawaoni exact location, waona tu location ya mnara uliokaribu nae

2. Mwingine mwenye access na hzo information ni mmiliki wa operating system yako. Ambao ni Google or Apple, nk. Nao wataweza kujua location ikiwa tu mtumiaji amelink email account yake na simu hyo na pia awe amewasha location + data.

Tofauti na hapo utahitaji app iwe imekuwa installed kwenye simu ya unayemtrack na iwe inaweza kuchukua number ya simu + IMEI. Hizi nadhani ndio zipo.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Software mbona zipo nyingi sana ila ni mpaka uweke mwenyewe kwenye simu husika ila Kama huwezi we Nenda tcra tu ukaombe mawasiliano yake we nenda na namba yake ya simu tu.
Yaani uende TCRA na number ya simu alafu wakupe tu location ya mtu . Askari wenyewe wanaotrack hzo simu zilizopotea ni lazima wawasilishe ripoti ndio wapewe information.
 
de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
697
1,000
Hakuna mtu mtu yoyote mwenye access na IMEI/Phone number + location za watu isipokua:

1. Network Providers ambao kisheria hawawezi kutoa hzo data kwa mtu yoyote isipokua chombo husika cha mawasiliano (TCRA). Na hata network providers hawaoni exact location, waona tu location ya mnara uliokaribu nae

2. Mwingine mwenye access na hzo information ni mmiliki wa operating system yako. Ambao ni Google or Apple, nk. Nao wataweza kujua location ikiwa tu mtumiaji amelink email account yake na simu hyo na pia awe amewasha location + data.

Tofauti na hapo utahitaji app iwe imekuwa installed kwenye simu ya unayemtrack na iwe inaweza kuchukua number ya simu + IMEI. Hizi nadhani ndio zipo.
Nimekuelewa vizur mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom