Wacheki insta wajamaa wanaitwa thebridgegulio naona huwa wanauza izo mambo kutoka china.Ama kweli Jf wasanii ni wengi mana wengine ngoja tutaunganisha nguvu kumbe wasanii tupu
Wacheki insta wajamaa wanaitwa thebridgegulio naona huwa wanauza izo mambo kutoka china.
Mkuu unajua ni ngumu sana hata kwa mimi uniambie nilete mashine halafu eti utalipia baadaye. Nafikiri wanaofanya hivyo wanataka commitment yako kwa uelewa wangu. Vipi wakileta mashine kwa gharama zao halafu wewe ukabadili mawazo unakuwa umewaingiza wao hasara unless atokee mteja mwingine. Down payment muhimu kwenye biashara nyingi. Cha muhimu kabla hujatoa downpayment hakikisha tu jamaa wana ofisi legit na muandikishane. Ila ukisubiri mtu wa kukuletea bila down payment hiyo haitakaa itokee. Option nyingine kama huwaamini wao jaribu kuagiza mwenyewe.Thanks sana kaka na nimewasiliana nao na wanaleta mawazo ya lipia sasa asilimia flani na mzigo ukifika unamalizia. Haya mambo naogopa yasije tokea mambo ya Kelvin (Tapeli) alietapeli hapa Jf kwa kisingizio toa asilimia flani sasa hivi na nyingine baadae
nafikiri ni tabia tu za watu kukosa uaminifu.Mkuu uko sahihi sana ila what happened kwa Kelvin nadhani imetoa fundisho la kutosha mana walikua na ofisi nzuri maeneo ya Kigamboni na watu waliandikishana vizuri tu ila what happened next.... Kila mtu anajua