TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,046
- 12,542
Njia nafuu ya usafirishaji ni by Sea.. It takes Approximately 30 Days kufika Dar Port na 7 Days kwa ajili ya clearance process..Hapana mkuu yani tatizo haukunielewa. Nilisema ni above dola 200 sio exactly dola 200.
Narudia tena nimesema ni zaidi ya dola 200. Nimewasiliana na jamaa wenyewe wa Alibaba na wanasema kama ni delivery express then ni dola 720 na ndio mana nkawa naulizia cheapest way ambayo ni affordable.
Be wise next time na tumia maneno ya busara
Kama hutojali hebu nitumie specs za hiyo machine pamoja na Supplier name in China huenda nikakuunga mkono tukaagiza pamoja ili kuokoa gharama za usafirishaji....