Nahitaji simu yenye background nyeusi

Hapo ukitaka hiyo kitu unataka nunua Microsoft Lumia yoyote Ina background mode na maandishi yanakuwa meupe kabisa. Sio application ni theme tu kwa hiyo huna haja ya kuhangaika kudownload

Nimejaribu kutafuta Nokia Lumia 950xl hapa Mwanza hakuna... Kuna Nokia ambazo sio Windows ni Android nami nataka windows phone...

Chief-Mkwawa wapi kwa Dar nawezsa kupata Nokia Lumia 950xl? Je duka la Nokia pia kwa Dar linapatikana wapi?

Kwa tetesi za chinichini wanasema kwamba Windows phone zinaeleekea kutoweka je ni kweli Chief?
 
kama hiii?????🙂🙂🙂




well we call it CUSTOM ROM ntaeleza jinsi ya kuweka hizi very simple but risk
 
kama hiii???🙂🙂🙂🙂 we call it custom ROM geeks wa ANDROIDS wanazijua nikipata mda ntaelekeza jinsi ya kuweka


 
ndio zinatoweka hazitengenezwi tena. una uhakika unataka windows phone? umefanya utafiti wa kutosha? maana mtengenezaji akisitisha support hata watengeneza apps na games na wao wanaanza kutoa apps zao.

kuna jamaa group la deals in dar namuona hapa anaziuza, unazipata mtaani tu siku hizi.
 

Duh... Asante kwa ushauri
 
Nina microsoft Lumia 640XL LTE hapa inauzwa
 
Wanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.

Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.

Je ni simu gani inaweza kuwa na hiyo features???
C.c. @chiefmkwawa
Very simple
 
Hilo suala setting tu, unatumia simu ya aina gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…