Inaitwaje manhiyo ni launcher themes inabadili hadi apps. nishatumia themes kibao kuanzia setting, notifications na app almost zote maarufu kama whatsapp zinabadilika na kuwa nyeusi.
iangalie hapa angalia screenshot zake na video
[CDT][CM12/13][DM-APP] Dark Material Series [DM // BO, AKZ, BLAKZ, DR+][5/7][159-160]
materialblack kwenye cyanogen rom,Inaitwaje man
Ah kumbe cyan rom, mi nilifikiri android default rom.materialblack kwenye cyanogen rom,
android nafkiri kuanzia 7 ina default black rom official.Ah kumbe cyan rom, mi nilifikiri android default rom.
Mkuu vipi kwa htc hii kitu inawezekana? Hivi na ile update ya htc one e9+ bado haijatoka? Na vipi kuhusu custom roms zake zipo?android nafkiri kuanzia 7 ina default black rom official.
mkuu simu za mediatek ni majanga linapokuja suala la custom rom na updates. sidhani kama simu ya miaka miwili mitatu iliopita itapata tena update kwa sasaMkuu vipi kwa htc hii kitu inawezekana? Hivi na ile update ya htc one e9+ bado haijatoka? Na vipi kuhusu custom roms zake zipo?
Ok mkuu,so hapo kupata angalau baadhi ya custom features ni kwakutumia xposed modules pekee? Na vipi uwezekano wa hiyo dark theme kwa hiyo simu?mkuu simu za mediatek ni majanga linapokuja suala la custom rom na updates. sidhani kama simu ya miaka miwili mitatu iliopita itapata tena update kwa sasa
angalia hapa zipo custom rom za kiaina aina ila hazija nishawishi.Ok mkuu,so hapo kupata angalau baadhi ya custom features ni kwakutumia xposed modules pekee? Na vipi uwezekano wa hiyo dark theme kwa hiyo simu?
Ipo sema hiyo dark theme kwenye theme store yao siioni,inakuja dark ambayo kwenye apps haibadilishi chochote.angalia hapa zipo custom rom za kiaina aina ila hazija nishawishi.
One (E9+) General
kuna moja unaiweka kama backup ya twrp.
kuhusu themes mbona site ya HTC inasema simu yako inasupport themes?
kwenye list ya app hakuna inayoitwa themes?
Na hiyo link inaleta error 404,page not found.Ipo sema hiyo dark theme kwenye theme store yao siioni,inakuja dark ambayo kwenye apps haibadilishi chochote.
alternative ni kutumia substratum ila sidhani kama kuna version ya lolipopIpo sema hiyo dark theme kwenye theme store yao siioni,inakuja dark ambayo kwenye apps haibadilishi chochote.
Vip kuhusu techno spack plus. Yenyewe inabadili ila in affect Kama app na picha hazionekani vizuri. Hakuna app ambayo inaweza Fanya back ground iwe nyeusi??angalia hapa zipo custom rom za kiaina aina ila hazija nishawishi.
One (E9+) General
kuna moja unaiweka kama backup ya twrp.
kuhusu themes mbona site ya HTC inasema simu yako inasupport themes?
kwenye list ya app hakuna inayoitwa themes?
hio ina android 7 nafkiri inakubali substratum, ila fanya at your own risk maana hii sio official toka manufacture.Vip kuhusu techno spack plus. Yenyewe inabadili ila in affect Kama app na picha hazionekani vizuri. Hakuna app ambayo inaweza Fanya back ground iwe nyeusi??
sababu hapo una mess na system files kuna chance ndogo uka haribu operating system. mpaka uformat ndio simu irudi kama kawaida.At my own risk. Inaweza kufanya nn???
sawa.sababu hapo una mess na system files kuna chance ndogo uka haribu operating system. mpaka uformat ndio simu irudi kama kawaida.
Nimedownload lakini haijafanya kazi kwangualternative ni kutumia substratum ila sidhani kama kuna version ya lolipop
mfano hii material glass hapa imeathiri hadi playstore
kama utapata kuipeleka simu yako angalau android 6 au utapata namna ya kuweka substratum utaweza eka themes.
alternative ni kutumia substratum ila sidhani kama kuna version ya lolipop
mfano hii material glass hapa imeathiri hadi playstore
kama utapata kuipeleka simu yako angalau android 6 au utapata namna ya kuweka substratum utaweza eka themes.
umedownload substratum, ukadownload na themes kisha uka apply hio theme? ulipata error gani?Nimedownload lakini haijafanya kazi kwangu
Kumbe ni mpaka nidownload na theme nilidownlod hiyo substratum tu basiiumedownload substratum, ukadownload na themes kisha uka apply hio theme? ulipata error gani?